BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Nani mwenye matokeo mazuri..ukiacha hiyo Simba? Hisia zangu zinakuwa kweliKufuatia kuwa na matokeo yasiyoridhisha hasa katika michezo ya muhimu na migumu, kama huu wa leo, nini kifanyike ili kuinusuru timu yetu pendwa simba sport club?
Kwa upande wangu
1.mo afukuzwe
2.waje wawekezaji wapya
3.uongozi wote tushinikize ujiuzulu, uchaguzi ufanyike upya
4. Mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa club, urudiwe upya kwani mo na genge lake waliuharibu
5. Tuwadhibu wachezaji kwa kuwa wazembe, mtu unaruka kichwa kama kindama kilichotoka nje, au kama kimbuzi kidogo
6wachezaji wazee wote tupa kule