Nini kifanyike kupunguza adha ya foleni katika barabara ya Morogoro kipande cha Ubungo-Mbezi katika kipindi hiki cha utanuzi wa barabara hii?

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,359
Reaction score
6,568
Shaloom Shaloom

Katika pitapita zangu kwenye barabara ya Morogoro nimekumbana na tatizo kubwa la foleni kutoka ubungo mpaka Kimara kuelekea Mbezi. Foleni ni kubwa na haisogei kutokana na shughuli za ujenzi na utanuzi wa hii barabara.

Je nini kifanyike kupunguza msongamano mkubwa wa foleni majira ya asubuhi na jioni?

Unaweza kukaa kwenye foleni zaidi ya masaa 2 kutoka ubungo mpaka Mbezi. Kitu kinachopelekea kuchelewa katika shughuli za ujenzi wa Taifa.
 
Kuna maamuzi ya aina kadhaa hapa kufanyika:

1. Kuzikarabati barabara za pembeni (service road). Zilizopo ni za ovyo kiasi ata gari kutembea ngumu.

2. Kutumia barabara ya mwendokasi kwa magari ya provate tu, especially mida ya rush hours.

3. Kuzicontrol daladala zinazosimama kwenye vituo vya daladala na kupakiza au kushusha abiria.

4. Kuongeza idadi ya mwendokasi na kupunguza kwa muda daladala za Mbezi.

5. Control Bajaji.

6. Hayo maroli yao yaonekane mida ya kuanzia 10am to 3pm na usiku 10pm to 5am muda mwingine yatulize makende.

...
 
Sijawahi ona folen kama hiyo mda mwingine huwa inaanzia salenda, inachapa st peters, inachapa Morocco, inachapa makumbusho aisee mpaka utoboe tegeta umenyoka
Hafu kuanzia Mwenge si ujenzi umewaka? Jioni ile njia labda upite na boda.
 
Askari wa kuvuta magari waongezeke hasa kwenye michepuko na vituo.. Boda, bajaj na daladala udhibiti uongezeke
BRT itumike nyakati hasa za jioni
 
Nipo maeneo flani hapa kibo kuna bar moja marufu najionea shida ya 4leni.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Ofisi ya mkuu w mkoa na hospital zake hazina vifaa vya mama na mtoto kuzaliwa je iyo 4leni itakuaje?

Kazi ni kipimo cha UTU
 
Wakazi wa Mbezi na maeneo mengine ya huko fungukeni siyo lazima magari yote yapite Morogoro road kupitia Kijazi interchange,kuna baraba za mbali kama Majumba sita to Mbezi via Kinyetezi,Mbezi beach shule to Mbezi juu via Goba,External-Maji-chumvi-to Korogwe (ila hii haikufikishi Mbezi),Halafu mkandarasi wa hiyo barabara aruhusu service road ya Kimara mpaka Ubungo maji itumiwe na magari kwa vipindi vya rush hour.
 
Askari wa kuvuta magari waongezeke hasa kwenye michepuko na vituo.. Boda, bajaj na daladala udhibiti uongezeke
BRT itumike nyakati hasa za jioni
nakubali mkuu! Vituo vya Kibo, Baruti,Korogwe na Kimara mwisho ni kisanga
 
Shaloom Shaloom

Katika pitapita zangu kwenye barabara ya Morogoro nimekumbana na tatizo kubwa la foleni kutoka ubungo mpaka Kimara kuelekea Mbezi. Foleni ni kubwa na haisogei kutokana na shughuli za ujenzi na utanuzi wa hii barabara.

Je nini kifanyike kupunguza msongamano mkubwa wa foleni majira ya asubuhi na jioni?

Unaweza kukaa kwenye foleni zaidi ya masaa 2 kutoka ubungo mpaka Mbezi. Kitu kinachopelekea kuchelewa katika shughuli za ujenzi wa Taifa.
Naona hii cha mtoto BRT Phase 5 ikianza sijui itakuaje?! Mandela Road to Morogoro Road, tawi Tabata to Segerea then Matumbi to Kigogo 🤔
 
Shaloom Shaloom

Katika pitapita zangu kwenye barabara ya Morogoro nimekumbana na tatizo kubwa la foleni kutoka ubungo mpaka Kimara kuelekea Mbezi. Foleni ni kubwa na haisogei kutokana na shughuli za ujenzi na utanuzi wa hii barabara.

Je nini kifanyike kupunguza msongamano mkubwa wa foleni majira ya asubuhi na jioni?

Unaweza kukaa kwenye foleni zaidi ya masaa 2 kutoka ubungo mpaka Mbezi. Kitu kinachopelekea kuchelewa katika shughuli za ujenzi wa Taifa.
Chakufanyika walishaondoka nacho Ngosha, Mgosi na Mnyaru
 
Good strategy but poor implementation. Research imefanyika kuwa BRT itaondoa foleni. Nchi ikakopa ikajenga BRT, halafu ina-frustrate BRT bus operations inaenda tena kukopa ili ipanue barabara za pembeni za private cars. Hapa kuna tatizo kubwa.
Recommendations: Mwalimu Nyerere aliandika kitabu "TUJISAHIHISHE" Ifanyike review tumekosea wapi mpaka tume-frustarte bus operations ndani ya BRT? Kwa nini turudi nyuma wakati tulishakopa fedha za ujenzi wa BRT ambazo hazitumiki effectively? Tutegemee nini kwenye BRT Mbagala, Gongo la Mboto na Tegeta ambazo zinakaribia kukamilika?
 
Kuna maamuzi ya aina kadhaa hapa kufanyika:

1. Kuzikarabati barabara za pembeni (service road). Zilizopo ni za ovyo kiasi ata gari kutembea ngumu.

2. Kutumia barabara ya mwendokasi kwa magari ya provate tu, especially mida ya rush hours.

3. Kuzicontrol daladala zinazosimama kwenye vituo vya daladala na kupakiza au kushusha abiria.

4. Kuongeza idadi ya mwendokasi na kupunguza kwa muda daladala za Mbezi.

5. Control Bajaji.

6. Hayo maroli yao yaonekane mida ya kuanzia 10am to 3pm na usiku 10pm to 5am muda mwingine yatulize makende.

...
No.3 na 6 zikifanyiwa kazi itakuwa imetatua tatizo kwa 60%...
 
Back
Top Bottom