Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Ile foleni uwa inaunga Mwenge - Mlimani City - Magufuli Hostels hapo.Foleni ya mwenge posta unaijua kweli wewe? Au hapa mjini ni mgeni wewe
Sijawahi ona folen kama hiyo mda mwingine huwa inaanzia salenda, inachapa st peters, inachapa Morocco, inachapa makumbusho aisee mpaka utoboe tegeta umenyokaIle foleni uwa inaunga Mwenge - Mlimani City - Magufuli Hostels hapo.
Hafu kuanzia Mwenge si ujenzi umewaka? Jioni ile njia labda upite na boda.Sijawahi ona folen kama hiyo mda mwingine huwa inaanzia salenda, inachapa st peters, inachapa Morocco, inachapa makumbusho aisee mpaka utoboe tegeta umenyoka
ndio nimeingia mjini mwaka huuu sina hata X-mas moja mkuu. Hebu nielezee ipoje hiyo foleni ya mwenge-PostaFoleni ya mwenge posta unaijua kweli wewe? Au hapa mjini ni mgeni wewe
nakubali mkuu! Vituo vya Kibo, Baruti,Korogwe na Kimara mwisho ni kisangaAskari wa kuvuta magari waongezeke hasa kwenye michepuko na vituo.. Boda, bajaj na daladala udhibiti uongezeke
BRT itumike nyakati hasa za jioni
Upo CHUGA mzee babaNipo maeneo flani hapa kibo kuna bar moja marufu najionea shida ya 4leni.
KAZI ni kipimo cha UTU
Naona hii cha mtoto BRT Phase 5 ikianza sijui itakuaje?! Mandela Road to Morogoro Road, tawi Tabata to Segerea then Matumbi to Kigogo 🤔Shaloom Shaloom
Katika pitapita zangu kwenye barabara ya Morogoro nimekumbana na tatizo kubwa la foleni kutoka ubungo mpaka Kimara kuelekea Mbezi. Foleni ni kubwa na haisogei kutokana na shughuli za ujenzi na utanuzi wa hii barabara.
Je nini kifanyike kupunguza msongamano mkubwa wa foleni majira ya asubuhi na jioni?
Unaweza kukaa kwenye foleni zaidi ya masaa 2 kutoka ubungo mpaka Mbezi. Kitu kinachopelekea kuchelewa katika shughuli za ujenzi wa Taifa.
sio poa mzee babaNaona hii cha mtoto BRT Phase 5 ikianza sijui itakuaje?! Mandela Road to Morogoro Road, tawi Tabata to Segerea then Matumbi to Kigogo 🤔
Chakufanyika walishaondoka nacho Ngosha, Mgosi na MnyaruShaloom Shaloom
Katika pitapita zangu kwenye barabara ya Morogoro nimekumbana na tatizo kubwa la foleni kutoka ubungo mpaka Kimara kuelekea Mbezi. Foleni ni kubwa na haisogei kutokana na shughuli za ujenzi na utanuzi wa hii barabara.
Je nini kifanyike kupunguza msongamano mkubwa wa foleni majira ya asubuhi na jioni?
Unaweza kukaa kwenye foleni zaidi ya masaa 2 kutoka ubungo mpaka Mbezi. Kitu kinachopelekea kuchelewa katika shughuli za ujenzi wa Taifa.
No.3 na 6 zikifanyiwa kazi itakuwa imetatua tatizo kwa 60%...Kuna maamuzi ya aina kadhaa hapa kufanyika:
1. Kuzikarabati barabara za pembeni (service road). Zilizopo ni za ovyo kiasi ata gari kutembea ngumu.
2. Kutumia barabara ya mwendokasi kwa magari ya provate tu, especially mida ya rush hours.
3. Kuzicontrol daladala zinazosimama kwenye vituo vya daladala na kupakiza au kushusha abiria.
4. Kuongeza idadi ya mwendokasi na kupunguza kwa muda daladala za Mbezi.
5. Control Bajaji.
6. Hayo maroli yao yaonekane mida ya kuanzia 10am to 3pm na usiku 10pm to 5am muda mwingine yatulize makende.
...