kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
- #21
Moyo wangu au moyo wa nani?Funga uone kama hawajachomoa moyo huo kwa presha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyo wangu au moyo wa nani?Funga uone kama hawajachomoa moyo huo kwa presha.
Muhimu sana kuwa na hati kubwa.Vipimo vya awali ninavyo lakini pia wizarani ni muhimu kwenda na kupata vielelezo kutoka kwao
Naweza nikaacha iwe njia kwani ni muda mrefu inatumika hivyo, lakini kwa sasa nataka kuongeza ujenzi maalum kwaajili ya mifugo yangu.Ila mkuu mi napingana kidogo na waliokushauri huko juu. Mi nakushauri kwanini usiache tu iwe njia? Najua ni ardhi yako ila kama ni katikati ya kiwanja chako nakushauri i-divert tu njia ipite kwa pembeni Kisha zungushia uwa eneo linalobaki au kama ni njia imejianzisha pembeni ya kiwanja chako mega tu Hilo eneo acha iwe njia ya kudumu.
Hii haitakuwa unyonge au haitamaanisha umeshindwa vita ila kwanza utakuwa umesaidia jamii kwa kiasi kikubwa pili, utakuwa umeepusha migogoro endelevu na mwisho itaonesha ukomavu wa kifikra
Ni hayo tu mkuu
Hahaha... Swa kaka nikitaka kuuza nitakuambiaNiuzie hiyo nyumba na hicho kiwanja halafu uone watu tunavyo takiwa kufanya..
Mipaka rasmi ipo na majirani wa kwanza kuja walikuta hakuna njia kabisa na wakaomba watumie kwa kupitia wao na kupitisha vifaa vyao vya ujenziEneo lako si lina mipaka rasmi?
Kama ndio basi huna budi kuzungushia uzio kuonesha eneo lako linapoishia...
basi vielelezo sahihi hunaNiliongea na jirani mmoja akasema alisikia mwingine akisema yeye ni mtu wa juu serikalini na hawezi kubali njia ifungwe
Sasa hao wanaojitia watu wa juu ndio wa kuwanyoosha kwa vyovyote nakwambia tena anza nae huyo alafu nikupe tu mara nyingi hiyo inatumika kama defence mechanism tuNiliongea na jirani mmoja akasema alisikia mwingine akisema yeye ni mtu wa juu serikalini na hawezi kubali njia ifungwe