Nini kifanyike kusaidia Mataifa ya Afrika kuelekea kombe la dunia kufika mbali katika mashindano?

Nini kifanyike kusaidia Mataifa ya Afrika kuelekea kombe la dunia kufika mbali katika mashindano?

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
458
Reaction score
1,280
Kumekuwa na hali ya mazoea au unyonge ambao mataifa ya Afrika kuwa nayo katika mashindano ya kombe la Dunia na ni wazi huonekana fikra na mawazo yq kushindwa au kutokufanya vizuri kuanzia katika akili zao(saikolojia) hadi vitendo kwa mara ya kwanza nimemuona rais wa chama cha soka cha cameroon Samuel Etoo kutoa kauli ambayo ikiambatana na vitendo Taifa la Cameroon likafanya vizuri namnukuu"

Cameroon atakuwa bingwa WC2022 QATAR" mchezaji huyo hatari wa Zamani mwenye mafanikio makubwa alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa fainali watacheza Cameroona na Moroco tunaweza kusema kuwa pengine ni ndoto za mchana lakini katika uwanja wa vita naona kama Etoo na jambo mbadala kwa Taifa lako katika mashindano mbalimbali ndani ya uongozi wake tutarajie Cameroon itakayojengeka kuanzia nje na ndani ya uwanja.

Karibu kuchangi.
 
Bado saana, mpira wa afrika umejaa hujuma, mbinu za nje ya uwanja na uchawi mwingi, hatujawekeza ndani ya Uwanja zaidi ya tunavyoekeza nje ya uwanja
 
Back
Top Bottom