Nini kifanyike kuteketeza uchawa ili rais ajaye asiwe mpenda au mfuga chawa?

Nini kifanyike kuteketeza uchawa ili rais ajaye asiwe mpenda au mfuga chawa?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
Kwa sasa, kama taifa, tuna tatizo kubwa tu.

Nalo ni uchawa. Uchawa umeondoa uwezo wa kuthubutu na kufikiri.
Kujipendekeza kumechukua nafasi ya kila kitu.
Utu wetu umedhalilishwa na kuhujumiwa.

Je nini kifanyike kuondoa kadhia hii ili baadaye asitokee tena rais mfuga na mpenda uchawa?
Nawasilisha.
 
huenda mwenye tatizo ni wewe binafsi pekee na pengine na familia yako tu,

hata nyumbu na wafuata mkumbo sidhani kama ni tatizo kwasababu hawana wanaloweza zaidi ya kua na mihemko useless 🐒
 
huenda mwenye tatizo ni wewe binafsi pekee na pengine na familia yako tu,

hata nyumbu na wafuata mkumbo sidhani kama ni tatizo kwasababu hawana wanaloweza zaidi ya kua na mihemko useless 🐒
Ni kweli. Ukiona mtu anajibu kama ulivyojibu, jua ni chawa la kunuka. Kuna siku mtakula mafi yenu chawa nyie baada ya anayewafuga kuondoka. So be it.
 
Ni kweli. Ukiona mtu anajibu kama ulivyojibu, jua ni chawa la kunuka. Kuna siku mtakula mafi yenu chawa nyie baada ya anayewafuga kuondoka. So be it.
ni kama mtoa hoja tu anavyojiexpose kwa mihemko useless kwamba yeye ni nyumbu na mfuata mkumbo tu, ambae anaugua na kuteswa na athari za maamuzi yake ya kufuata mkumbo kilofa kama vile kususia chaguzi n.k🐒
 
Kwa sasa, kama taifa, tuna tatizo kubwa tu.

Nalo ni uchawa. Uchawa umeondoa uwezo wa kuthubutu na kufikiri.
Kujipendekeza kumechukua nafasi ya kila kitu.
Utu wetu umedhalilishwa na kuhujumiwa.

Je nini kifanyike kuondoa kadhia hii ili baadaye asitokee tena rais mfuga na mpenda uchawa?
Nawasilisha.
Ili kuteketeza tamaduni ya "uchawa" (kusifia viongozi kwa maslahi binafsi) na kuhakikisha rais ajaye hategemei au kufuga mfumo huo, ni lazima nchi ifanye mabadiliko makubwa ya kimfumo na kiutamaduni.

Hatua ya kwanza na ya msingi ni kuimarisha taasisi huru za uwajibikaji na sheria, ambazo zitahakikisha utendaji wa viongozi unapimwa kwa takwimu na matokeo halisi badala ya sifa za mitandaoni.

Hii iende mbali hadi kwenye kuweka misingi imara ya kisheria na kikatiba inayomlinda kila mwananchi anayetoa maoni mbadala au kukosoa serikali kwa nia njema, ili kuondoa hofu na kujenga jamii yenye uwazi.

Sambamba na hilo, mfumo wa uteuzi wa watendaji wa umma unapaswa kubadilishwa ili uegemee kwenye sifa, weledi, elimu, na maadili badala ya kuwazawadia wale wanaopiga kelele zaidi za kusifia.

Nafasi nyingi za umma na za kisiasa zinapaswa kupitia mchakato wa ushindani wa wazi na usaili unaoratibiwa na mamlaka huru, hatua ambayo itaondoa upendeleo wa kibinafsi unaochochea watu kuwa chawa ili kupata ajira, vyeo, au kulindwa.

Kijamii, kuna haja kubwa ya kuongeza nguvu kwenye elimu ya uraia kuanzia mashuleni hadi ngazi ya familia, ili wananchi watambue kuwa viongozi ni watumishi wa umma na kwamba kuhoji au kukosoa ni wajibu wa kidemokrasia na sio ukosefu wa adabu.

Jamii, vyombo vya habari, na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanapaswa kujenga utamaduni wa kuwabeza, kuwatenga, na kutowapa jukwaa watu wanaojipendekeza, badala ya kuwashabikia au kuwapa umaarufu unaowajenga kimaisha.

Mwisho kabisa, mabadiliko haya yanahitaji msimamo thabiti na mfano wa kuigwa kutoka kwa rais mwenyewe, ambaye anapaswa kukataa kusujudiwa na kuwakaripia au kuwatenga hadharani watu wanaomsifia kupita kiasi bila sababu za kimsingi.

Kiongozi mkuu anapaswa kuonyesha nia ya dhati kwa kuwazawadia, kuwalinda, na kuwasikiliza washauri wanaompa ukweli mgumu au ripoti za kitaalamu, kuliko wale wanaomwambia kile anachotaka kusikia.
 
Kwa sasa, kama taifa, tuna tatizo kubwa tu.

Nalo ni uchawa. Uchawa umeondoa uwezo wa kuthubutu na kufikiri.
Kujipendekeza kumechukua nafasi ya kila kitu.
Utu wetu umedhalilishwa na kuhujumiwa.

Je nini kifanyike kuondoa kadhia hii ili baadaye asitokee tena rais mfuga na mpenda uchawa?
Nawasilisha.
CCM = Uchawa
Hakuna namna ya kuvitenganisha, labda ing'olewe CCM ndipo uchawa utaisha na akili zitaanza kutumika. Imagine mtu mzima na akili zake timamu anaanza upumbavu wa kwamba eti Ridhiwani anafaa kuwa rais wa nchi, uchawa umefanya watu akili zao zimehamia matakoni.
 
Kwa sasa, kama taifa, tuna tatizo kubwa tu.

Nalo ni uchawa. Uchawa umeondoa uwezo wa kuthubutu na kufikiri.
Kujipendekeza kumechukua nafasi ya kila kitu.
Utu wetu umedhalilishwa na kuhujumiwa.

Je nini kifanyike kuondoa kadhia hii ili baadaye asitokee tena rais mfuga na mpenda uchawa?
Nawasilisha.

Kutafuta dawa inayoua kunguni na chawa... 😂 😂 😂 😂 😂 😂

On a serious note, kiongozi ajaye atoke nje ya makundi haya ya sasa ya CCM. Yamekuwa muflisi
 
ni kama mtoa hoja tu anavyojiexpose kwa mihemko useless kwamba yeye ni nyumbu na mfuata mkumbo tu, ambae anaugua na kuteswa na athari za maamuzi yake ya kufuata mkumbo kilofa kama vile kususia chaguzi n.k🐒
Ni kweli. Ukiona nyumbu kama wewe unaniita mie mwenzio, yaani, nyumbu, jua kuna madini ambayo si rahisi nyumbu kuyanyambua na kuyaelewa. Koma uchawa nyumbu wewe utaliwa unajiona. Mbona huko nyuma hukuwa hivyo?
 
relax bas gentleman, I'm sorry 🤣
 
Mazingira bora wezeshi ya kila mwanachi kuwa na uchumi imara wa kumudu mahitaji yake muhimu na ya lazima, pasipo na utegemezi.

Hii ndio suluhishoo, Lol
 
Akitokea Rais asiyependa kusifiwa sifiwa ( cheap praises) na anayependa kukosolewa pale anapokosea na kurekebishwa, na asiyependa makandokando kando na mwenye uelewa mpana kwa kiasi kikubwa itapunguza hili tatizo
 
Back
Top Bottom