Nini kifanyike kuteketeza uchawa ili rais ajaye asiwe mpenda au mfuga chawa?

Pascal Mayalla aione hii
 
Mkuu hii inafaa kuwa thread kamili
 
Uchawa unatokana na kukosa uwezo/sifa kwa kiongozi.
 

elimu kwanza kwa watanzania juu ya democratiia. watanzania wengi au waafrica kwa ujumla hatujui na hatuoni faida ya democratia. Tunaabudu mtu kama mungu.yani bosi asikosolewe .
 
Itengenezwe sheria kupitia miswaada ya hati za dharura kama zile za enzi za Yustino na msaidizi wake.Sheria iseme adhabu kwa anayethibitika kuwa chawa,ni kunyonga hadi kufa.Hapo Tanzania itapona.
 
Kwanza, katiba mpya na pili CCM out!
 
Cha muhimu ni rais mwenyew akatae hawa machawa waziwazi na atoe onyo la kumsifiasifia kichawa chawa!! NB: Atakaekuja kukutolea povu hapa basi ni mmojawapo wa machawa pro max!!
 
KANUNI KUU TATU
1)MWANASIASA ASIWE MPIGA KULA WA CHAGUZI ZA KISERIKALI.
2)KUWE NA RESENI YA SIASA MTU KABLA YA KUJIUNGA NA CHAMA CHOCHOTE ANATAKIWA KUWA NA HIYO RESENI ITAKAYO LIPIWA SH MIL MBILI KILA MIAKA MITANO.
3)KUWE NA DARAJA 3 AU 5 ZA URAIA ZITAKAZO ZUIA RAIA WA DARAJA YA CHINI YA URAIA KUWA WANASIASA AU KUWA HATA WAPIGAKURA AU KUWA VIONGOZI WAKUU WA KISERIKALI NK

Haya ndiyo muarobaini wa upumbavu mwingi uliopo sasa kwenye siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…