Nini kifanyike kuwajengea uwezo wanasiasa waandamizi wa Tanzania waweze kujieleza kwenye Vyombo vya Habari?

Msamehe bure huyu Mzee, anapambana Sana kupata nafasi ya kisiasa au uwakilishi wowote huko Ccm hivyo ataandika lolote Ili kujitengenezea fursa
 
Mkuu Megalodon , kwanza naomba kuheshimu opinion yako on me, na sio wewe tuu mko wengi mnaamini CCM in mbadala. Kosa langu humu jf always ni lili lile la kuwa mkweli toka ndani ya nafsi yangu kuwa kwa vyama vya siasa hivi vilivyopo, bado hakuna mbadala wa CCM, hivyo CCM bado ipo sana and probably milele if katiba haitabadilishwa!.
JPM aliweza kuwa Rais , Kama Samia pia ameweza kuwa Rais , why hakuna mbadala wa CCM …????
Hapa tunazungumzia vitu viwili tofauti, mimi nazungumzia vyama, wewe unazungumzia watu!. Kwenye vyama vilivyopo nchini, hakuna chama chochote ambacho kina weza kuireplace CCM, in terms of ability and capability, lakini mtu kuwa rais wa JMT, anybody ambaye ni presidential material, can be a president of this country na mimi nimewataja wengi tuu
- Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!
Huu ni uthibitisho anybody can be a president.
Uadilifu ni kitu kimoja na being intellectual ni kitu kingine!, hakuna uhusiano wa uadilifu na intellectuality
did you ever expected tunaweza kuja kuwa na Rais Kama Samia?
Sio tuu kuwa did I ever, expected, but mimi one of them who made her president kupitia kauli umba zetu!, karibu mitaa hii uone nilisema nini na lini
I don't think the opposite, but tuwape ikulu yetu kwa chama gani?.
all best Mayala!
Asante
P
 
Sawa however , naomba keyless unamaanisha nini unaposema hakuna mbadala wa CCM ? Labda nahitaji kuelewa kitu kwanza !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…