Nini kifanyike kuzinusuru ndoa za nyakati hizi?

Nini kifanyike kuzinusuru ndoa za nyakati hizi?

Lizzy Umeolewa? Da naleta posa kwa kweli kama hujaolewa, nipokeeeeeeeeeeeee


Il Gambino.

Hehehehhehe
Unanipenda na kunihitaji lakini?Au ndio unanipendea hicho kipilipili cha kwenye avatar?
 
msiongelee upande mmoja tu jamani...mbona zipo pia zinazodumu hizhiz za siku hizi...mfano ya kwangu...tumetuliiaaa na tunazaidi kusonga kwa uwezo wa MWENYEZI....I alwzys say thank you to God for this..!!

Hata kwangu, naenjoy sana. god is great!
 
Back
Top Bottom