Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza. Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake.
Mtoto wao ana mwaka wa pili sasa, Ali anasisitiza wakapime vinasaba lakini mama amekuwa mbogo, anasema bora apewe talaka lakini siyo kupima vinasaba.