Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mbona msimamo wa mwanamke uko wazi?View attachment 2380011
Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza.
Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake.
Mtoto wao ana mwaka wa pili sasa, Ali anasisitiza wakapime DNA lakini mama amekuwa mbogo, anasema bora apewe talaka lakini sio kupima DNA.
Unazngua weweMtoto ni siri ya Mama! Hata ungefanyaje.
Kwa hiyo hutakiwi kujipa pressure bure,mtoto ni mtoto wewe fumba macho lea mtoto akikua matunda yake ni yako.
Hatati sanaKwenye hii issue, mke anataka wagawane mali nusu kwa nusu. Tayari watoto wameshagawana.
Mtoto mkubwa ni wa baba na mama, mdogo ni wa mama na boss