Ili Simba ishinde ugenini Uganda itakapocheza na Vipers kwanza kabisa Robertinho atumie mfumo wa Juma Mgunda ili kuleta ufanishi kwenye timu.
Mbinu zake hazifanyi kazi Simba kwa sbb ya wachezaj waliopo hawawez kukimbia sana na kucheza direct football kama liverpool kwa maana pass ndefu za haraka.
Simba Ianze na PHIRI pale mbele kama namba TISA harafu ianze na SAIDO kama play maker kwa sbb saido anaweza kufanya ball recovery haraka kuliko CHAMA.
Hii itaongeza ufanisi ikishindikana basi chama aanze lakini hawa vipers ni hatari sana wakiwa na mpira na simba inatesekana sana ikiwa haina mpira.
Winga ya kushoto acheze kibu denis kumsaidia zimbwe akipandisha kufanya ball recovery, kibu autanue uwanja sana ili kuongea uwazi kwenye beki ya vipers.
KANOUTE aambiwe asiwe na tamaa ya kupandisha mashambulizi hii inapelekea Simba kuwa na uwazi nyuma ambapo ndio kilichotukuta na Azam, Raja na hata tulipocheza na Mbeya City.
Kanoute kama namba 6 asiwe na tamaa ya kwenda kushambulia hii imekuwa mbaya kwetu mpaka Inonga na Onyango wanateseka kuhama hama na inasababisha Kanoute apate kadi za njano nyingi kwa sbb anakuwa hayupo kwenye eneo sahihi.
Kama kocha hataki kuelewa tukifungwa asitulaumu kitakachotokea atafukuzwa akiwa UGANDA.
Mwisho Simba tujipange sana namna ya kucheza away kuwaheshimu wapinzani na kuzitumia free kick na kona.
SIMBA NGUVU MOJA