Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Kweli wanakosea. Lakini ni postion au position? Kuna makosa mengi sana vijana wanafanya tuendelee kusahihishana tu. Wanapaswa kuandika na kutamka possession (poseshien kwa kiswahili) yaani umiliki. Position (pozishen) ni nafasi. Kwa lugha za vijana viwanjani ingekuwa timu ili possess mpira kwa asilimia 55 na washambuliaji wetu wana jua kuji position yani kujipanga katika nafasi.Imekuwa kawaida hapa Tanzania karibia maeneo yote kukuta vijana wakiongelea mpira kutumia neno postion badala ya possession wanapokuwa wakimaanisha umiliki wa mpira. Na maandishi huwa wanawekewa kabisa possession kwa mfano Yanga 30%- Simba 70% lakini bado wanaendelea kutamka ilo neno pozisheni. Nimejitahidi kuwakosoa mmoja mmoja ila naona sio rahisi kufanikisha.