Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Imekuwa kawaida hapa Tanzania karibia maeneo yote kukuta vijana wakiongelea mpira kutumia neno position badala ya possession wanapokuwa wakimaanisha umiliki wa mpira. Na maandishi huwa wanawekewa kabisa possession kwa mfano Yanga 30%- Simba 70% lakini bado wanaendelea kutamka ilo neno pozisheni. Nimejitahidi kuwakosoa mmoja mmoja ila naona sio rahisi kufanikisha.