Nini kifuate baada ya ziara ya Rais Samia jijini Mwanza?

Nini kifuate baada ya ziara ya Rais Samia jijini Mwanza?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Baada ya ziara ya rais Kanda ya Ziwa, CHADEMA wanatakiwa kwenda Kanda ya Ziwa kuelezea upande wa pili (mbadala) wa mkataba wa DP World ili wananchi waelewe ukweli ni upi.

Chadema wafafanue juu ya KIA kupewa Waarabu, BRT kuwa kwenye mjadala wa kukabidhiwa Waarabu (ukoloni mpya wa Kiarabu Tanzania).

Nachelea kuamini kuwa huenda hata SGR na ATCL watapewa Waarabu hatua kwa hatua maana zote hizo Watz hawawezi kuziendesha na zinaishi kwa hasara kama ilivyokuwa bandari na KIA.

Kazi ya msingi ya upinzani ni check and balance.

NB:
Taifa la Tanganyika halikwepeki ili kusalimika na madhila ya DP World.
 
Wale jamaa sio wajinga, hata wasipoambiwa tayari wanajua kila baya tulilotendwa na mzanzibari.
 
Back
Top Bottom