Nini kilichosababisha gharama za internet kupanda? Mkongo wa taifa hauna mahusiano na kupanda au kushuka kwa internet?

Tatizo wanasiasa wana maslah binafs na watoa huduma

Na ndio maana watoa huduma wakizingua watendaj wa mashirika yanayowasimamia watoa huduma wanakua wapole kutokana na ushawish wa wanasiasa
Basi ni hatari
 
Elimu gharama
 
Serikali inatafuta pesa kwa nguvu ikaona sehemu nyingine ya kupata pesa za haraka ni kwenye internet.

WATATUELEZA VIZURI KWENYE KAMPENI ZA 2024 na 2025!
 

Kilichosababisha
 
Una uhakika huyo mdogo wako anasoma na kufuatilia mijadala kila wakati You Tube? Chuo gani huyo anasoma anakufanganya hivyo? Au ww mwenyewe hujawahi soma au fika chuoni hadi akudanganye wazi wazi hivyo?

Iko hivi kama ni mwanachuo, jua kabisa anakudanganya, wengi humaliza data what's up, Instagram, Facebook, Telegram, Tik Tok, Porno websites kibao via VPN kwa Tz, etc alafu anakudanganya data hazitoshi. Na huko hasomi chochote zaidi ya kumaliza data na ujinga kuongezeka.

Tena mwambie asikusumbue na zinatosha sana kusomea aache ujinga haraka, mkemee kabisa, acha kundekeza ataharibikiwa huyo, ajifunze kutafuta hela zake akikuwa, acha kabisa kulea ujinga, sbb hata ukimpa 20 gb kwa mwezi kwa mitandao hii ya social media sbb hana discipline ya kusoma, anaangalia social media tu, nakwambia hazitoshi, mkemee tena mwambie koma, soma, hizo zinatosha, sana tena, 5G akiamua ku download contents za kusomea au ku browse websites za masomo na kucheki vitu muhimu tu zinatosha sana.

Kama hajakuelewa, na ww ndio tatizo pia.
 
Internet imekuwa ghali mno Tanzania.
 

 
nape Nnaue njoo hapa utueleze kwanini vifurushi vipo juu sana? Miaka ya nyuma 1GB na madakika kibao kwa 1000/= imefikia 1GB na vidakika uchwara kwa 3000/= hii ni haki?? Narudia tena hii ni haki??
 
kiongozi umenipa ushauri makini, pia uwenda ilo la social media linachangia ntafatilia!

Bado nasubiri mwenye kujua kilichopandisha bei vifurushi hasa internet ni kitu gani vita vya Ukreine au nini?
 
Kuna mtu aliwah n ambia usitegemee mtu kutoka pwan akaweza kusimamia kitu kikasimama kwa asilimia100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…