antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mwambie huyo Wassira kuwa Lissu siyo size yake.Nini kilichosababisha Tundu Lissu kukwepa mdahalo wa kisiasa na mzee Wassira kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba?
Dogo,kwamba mvuta bangi mzee wa kubeti ndio saiz ya Wasira wakati tapeli mwenye mdomo na makelele katoka nduki kisayansi?π€£
gentleman,Wenye akili timanu wote wanakuona kama MAITI INAYOTEMBEA.
Makubwa jinga siku hizi hamtakiwi mbweha nyie.
Ngoma ya TL mnaicheza bila kupenda vibaka nyie.
Lisu ajadili nini na huyo mzee aliyegoma kustaafu?Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
kwahiyo gentleman,Dogo,
Siku hizi umegeuka bingwa wa matusi?!!!
Kuna hoja gani mezani ya kujadili? Huu ujinga ulioandika ndiyo hoja?gentleman,
naona pepo la mauti limekujaa dah!
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe, Mungu akuepushe na kunusuru na mauti unayowaza kutwa kucha.
Hata hivyo,
uneelewa hoja mahususi mezani gentleman? Si ungesoma taratibu kwa umakini na ndipo ukoment bila mihemko?
pole gentleman π
ccm mnamjua wenyewe Wasira. Ila ikifika october tutajua ukweli atakayekimbia mdahalo ni Samia au Lissu.Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
Lissu anataka mdahalo na samiaSure,
yupo vizuri mno kwenye timing ya kuomba kuchangiwa pesa ya pocket money, ya kunywa spirit drinks na nyama, for sure eneo hilo yuko chonjo mbaya sana gentleman π
Kwanini asifanye mdahalo na samianadhani angekubali mdahalo kisha ionekane wazi nani anajadili na nani ana piga makelele na mdomo tu gentleman π€£
Siyo sixe yake, yeye anatakiwa aingie na Mwenyekeiti mwenzie siyo makamuKwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
ni utovu wa kimaadili kujaribu kumuhusisha mtukufu Rais Dr Samia Suluhu Hassan, na kibaka wa siasa na mzururaji ombaomba na tapeli wa pesa za maskini.ccm mnamjua wenyewe Wasira. Ila ikifika october tutajua ukweli atakayekimbia mdahalo ni Samia au Lissu.
Gentleman,Kwanini asifanye mdahalo na samia
Ova
tapeli hawezi kua na fursa ya kujadili chochote na mtu mwenye dhamana na umma wa waTanzania gentleman,Lissu anataka mdahalo na samia
Ova
Wasira huyu huyu ambaye Huwa anasinzia kila baada ya dakika 5 au WASIRA mwingine???Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
Kwa matusi uliyoanza kuandika humu JF siku chache hizi, inaonekana wazi wewe ndiyo mwenye sifa hizo:kwahiyo gentleman,
kijana wa tarime havuti bangi? unamjua vema kwanza?
kwahiyo unataka kusema yule kijana wa tarime ameacha kubeti? Na kama ameacha ni muhimu angeacha vyote maana facial expressions inaonekana ana stress za kutumia vyote na hana hata kumi mbovu na aliwahi kua mbunge.
inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise dah π€£