Pre GE2025 Nini kilichosababisha Tundu Lissu kukwepa mdahalo wa kisiasa na mzee Wassira kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wenye akili timanu wote wanakuona kama MAITI INAYOTEMBEA.
Makubwa jinga siku hizi hamtakiwi mbweha nyie.
Ngoma ya TL mnaicheza bila kupenda vibaka nyie.
 
gentleman,
naona pepo la mauti limekujaa dah!

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe, Mungu akuepushe na kunusuru na mauti unayowaza kutwa kucha.

Hata hivyo,
uneelewa hoja mahususi mezani gentleman? Si ungesoma taratibu kwa umakini na ndipo ukoment bila mihemko?

pole gentleman 🐒
 
Kwamba pamoja na uzee wake,

Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?

Ndugu mdau,

Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Lisu ajadili nini na huyo mzee aliyegoma kustaafu?
 
Dogo,
Siku hizi umegeuka bingwa wa matusi?!!!
kwahiyo gentleman,
kijana wa tarime havuti bangi? unamjua vema kwanza?

kwahiyo unataka kusema yule kijana wa tarime ameacha kubeti? Na kama ameacha ni muhimu angeacha vyote maana facial expressions inaonekana ana stress za kutumia vyote na hana hata kumi mbovu na aliwahi kua mbunge.

inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise dah 🤣
 
gentleman,
naona pepo la mauti limekujaa dah!

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe, Mungu akuepushe na kunusuru na mauti unayowaza kutwa kucha.

Hata hivyo,
uneelewa hoja mahususi mezani gentleman? Si ungesoma taratibu kwa umakini na ndipo ukoment bila mihemko?

pole gentleman 🐒
Kuna hoja gani mezani ya kujadili? Huu ujinga ulioandika ndiyo hoja?
 
Kwamba pamoja na uzee wake,

Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?

Ndugu mdau,

Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
ccm mnamjua wenyewe Wasira. Ila ikifika october tutajua ukweli atakayekimbia mdahalo ni Samia au Lissu.
 
Lisu ajadili nini na huyo mzee aliyegoma kustaafu?
nadhani angekubali mdahalo kisha ionekane wazi nani anajadili na nani ana piga makelele na mdomo tu gentleman 🤣
 
Kuna hoja gani mezani ya kujadili? Huu ujinga ulioandika ndiyo hoja?
sasa muerevu si ungeandika ujanja kuliko kuonyesha mihemko tu bila mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani?🐒
 
Sure,
yupo vizuri mno kwenye timing ya kuomba kuchangiwa pesa ya pocket money, ya kunywa spirit drinks na nyama, for sure eneo hilo yuko chonjo mbaya sana gentleman 🐒
Lissu anataka mdahalo na samia

Ova
 
Kwamba pamoja na uzee wake,

Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?

Ndugu mdau,

Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Siyo sixe yake, yeye anatakiwa aingie na Mwenyekeiti mwenzie siyo makamu
 
ccm mnamjua wenyewe Wasira. Ila ikifika october tutajua ukweli atakayekimbia mdahalo ni Samia au Lissu.
ni utovu wa kimaadili kujaribu kumuhusisha mtukufu Rais Dr Samia Suluhu Hassan, na kibaka wa siasa na mzururaji ombaomba na tapeli wa pesa za maskini.

Tafadhali kua na heshma kidogo gentleman 🐒
 
Kwanini asifanye mdahalo na samia

Ova
Gentleman,
huwezi kumuhusisha mtu mwenye dhamana nzito na muhimu sana ya umma kitaifa,
na kibaka na tapeli wa siasa.

Ndio maana akawa na msaidizi wa masuala ya kisiasa ndugu Steven Wasira ambae ndio ana wajibu wa kufanya engagements na vibaka na matapeli wote wa kisiasa nchini 🐒 🐒
 
Lissu anataka mdahalo na samia

Ova
tapeli hawezi kua na fursa ya kujadili chochote na mtu mwenye dhamana na umma wa waTanzania gentleman,

badala yake yupo msaidizi mahususi wa Rais kisiasa mwenye wajibu wa kudili na vibaka wote wa kisiasa nchini 🐒
 
Kwamba pamoja na uzee wake,

Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?

Ndugu mdau,

Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wasira huyu huyu ambaye Huwa anasinzia kila baada ya dakika 5 au WASIRA mwingine???
 
kwahiyo gentleman,
kijana wa tarime havuti bangi? unamjua vema kwanza?

kwahiyo unataka kusema yule kijana wa tarime ameacha kubeti? Na kama ameacha ni muhimu angeacha vyote maana facial expressions inaonekana ana stress za kutumia vyote na hana hata kumi mbovu na aliwahi kua mbunge.

inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise dah 🤣
Kwa matusi uliyoanza kuandika humu JF siku chache hizi, inaonekana wazi wewe ndiyo mwenye sifa hizo:
yaani bange na betting

Inafaa mods washauriwe kukulima Ban ya angalau mwezi mmoja ili upumzike kukesha humu ukae sawa
 
Back
Top Bottom