Nini kilifanya CAG aliyepita, Profesa Assad kuondolewa katika nafasi ile?

Ukiwa mkweli na muwazi umetangaza vita na hayati
 
Yule ASAD hakuwa wa moto kama huyu.

Walijua wanampiga teke chura kumbe ndo wanamuongezea mwendo.

Kweli zimwi likujualo halikuli likakwisha
 
NDUGAI
 
Watulie kabisa msumari ipenye palipo wazi
 
Watulie kabisa msumari ipenye palipo wazi
CAG kusema ukweli wanasema anazushiwa, uzuri CAG alimteua yeye na ni mtu wa nyumbani. Kaziremba ripoti za nyuma sasa kawa huru wanalia
 
Na kuwadanganya wasiojielewa kuwa ni Mzalendo
Yeye ndo alikuwa fisadi mkuu ndani ya utawala wake.

Hatujawahi pata rais wa hovyo kama marehemu magufuli, hata historia yake haipaswi kukumbukwa.
 
Bila shaka ndugai alikuwa na hofu
Alikuwa ni mateka wa bilioni 12 za matibabu angeenda kinyume tu kesi ya uhujumu uchumi wa kutumia bilioni 12 matibabu ingemuhusu file lingetua kwa DPP, kumbuka alitaka kwenda kinyume jiwe akagusia la matibabu yake job akarudi kwenye mstari wa jiwe na kumfanyia Kazi nzuri Sana ya kuuwa upinzani ikiwemo kuwafukuza wapinzani bungeni wakitoka nje wanakutana na mkono wa jiwe.Alishiriki kumfuta Lisu ubunge akapewa zawadi ya jina lake kupewa soko la dodoma kama fadhila ya kuwashughulikia wapinzani.Leo hata 40 aijafika wamemgeuka.
 
Akapewa na mlinzi wake mmoja akawa naye.
 
Yeye ndo alikuwa fisadi mkuu ndani ya utawala wake.

Hatujawahi pata rais wa hovyo kama marehemu magufuli, hata historia yake haipaswi kukumbukwa.
Kuna waliojitoa ufahamu
 
Kwa matamshi ya bwana ndugu gay jana, nime conglude, wawakilishi pekee na wenye akili ni wabunge wa UPINZANI tu, hasa Chadema na Zitto Kabwe, sisiemu ni janga kubwa mno kwa ustawi wa nchi hi, wanakula pesa za posho za bure tu.
 
KWa matamshi ya bwana ndugu gay jana, nime conglude, wawakilishi pekee na wenye akili ni wabunge wa UPINZANI tu, hasa Chadema na Zitto KAbwe, sisiemu ni janga kubwa mno kwa ustawi wa nchi hi, wanakula pesa za posho za bure tu.
Wapinzani walionesha Uzalendo hasa wale waliobaki na misimamo yao
 
Hatari sana. Baadae akamtupa huko hata ubunge hana
Kama aliweza kuwapa wachekeshaji wakina Babu Tale, Gwajima, Mwana FA n.k unafikiri angetaka kumpa ubunge angeshindwa?
 
Naona CAG hii ndio ripot aliyoipanga mwaka huu ,msitake mtuaminishe kuwa ndani ya wiki moja wachapishe ripot tofauti.
 
Naona CAG hii ndio ripot aliyoipanga mwaka huu ,msitake mtuaminishe kuwa ndani ya wiki moja wachapishe ripot tofauti.
Una maana ipi Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…