Nini kilifanya CAG aliyepita, Profesa Assad kuondolewa katika nafasi ile?

kwa mwendo huu msishangae mkaambiwa meko kafufuka kawatokea watu wakienda shamba
 
Kosa lake lilikuwa kusema ukweli.
 
Prof. Assad aliondolewa ili uchafu wa awamu ya 5 usiwe hadharani. Ndio kisa pia cha kuua upinzani na kuondoa uhuru wa habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…