Kila kitu kina sababu mkuu, trust me..Mchepukaji haitaji sababu
Zipo.Mchepukaji haitaji sababu
kula like kijanaZipo.
Kabla ya kumweka ndani anakuwa submissive ila ukishamwoa akajihakikishia ana bima ya cheti cha ndoa mambo kuanza kubadilika mdogomdogo...
Upo sahihi sana... Yani shetani ndiyo kaleta hoja hii akijua unaanguka dhambini, unanguka dhambini kwasababu ya kimazingira lakini nyuma yake yupo shetani, na anakuangalia unavyoanguka ili akushtaki kwa Mungu , shetani ni mjinga sana. Ndiyo maana tunambiwa ombeni msiingie majaribuni.Shetani ndo sababu
Hayo yoteeee ni majaribu na mmembiwa muombe kuyashinda majaribuZipo.
Kabla ya kumweka ndani anakuwa submissive ila ukishamwoa akajihakikishia ana bima ya cheti cha ndoa mambo kuanza kubadilika mdogomdogo.
1. Kuanza kukupangia siku za kula mbususu.
2. Wengine hubadilika na kuanza kutojijali (hujiweka rafu) wakati kabla hujamwoa alikuwa na pigo za kisistaduu na ndizi ulizomzimikia enzi hizo.
Unakuta Akienda sokoni anajikwatua,akiwa ndani anavaa khanga muda wote,sasa sijui huko sokoni anaenda kumuimpress nani.
3. Mkishazoeana huanza kuonyesha dharau na kelele ndani ya nyumba. Wanaume hautpendi makelele ya Kila saa na yasiyoisha.
4. Ugomvi kidogo humpigia simu mama ake na kuanza vikao. Kuepuka kelele unatafuta pa kupumzikia,ili mbo yasimwe mengi.
5. Wengine kushinda nyumba za ibada kuanzia asubuhi hadi jioni,Kila siku,na mtumishi anasikilizwa kuliko mume.
6 .yapo mengine mengi.
na alivokua wamchongo HQ yake kaweka kwenye ngono na pombe, oovyo kabisa.!!Upo sahihi sana... Yani shetani ndiyo kaleta hoja hii akijua unaanguka dhambini, unanguka dhambini kwasababu ya kimazingira lakini nyuma yake yupo shetani, na anakuangalia unavyoanguka ili akushtaki kwa Mungu , shetani ni mjinga sana. Ndiyo maana tunambiwa ombeni msiingie majaribuni.
sijakumbuka, nimeshuhudia mwenye ndoa na familia yake, mpole sana usieweza kudhania kuchepuka kabambwa akifanya hiyo tamu ya ndoa nje ya ndoa dah....Umekumbuka nini kilichokusukuma kuandika hicho?.
wanao amini Mungu husingizia shetani....Upo sahihi sana... Yani shetani ndiyo kaleta hoja hii akijua unaanguka dhambini, unanguka dhambini kwasababu ya kimazingira lakini nyuma yake yupo shetani, na anakuangalia unavyoanguka ili akushtaki kwa Mungu , shetani ni mjinga sana. Ndiyo maana tunambiwa ombeni msiingie majaribuni.
Mchumba wangu hana kishundu kama kile ilibidi tu.tangu mwanzo wa uchumba hadi ndoa yako, mambo yalikua ya amani na furaha sana baina yenu na mahitaji yote muhimu yalitimizwa.
kwasababu ya upendo wa dhati, itii na uamninifu wa kweli ulokua nao dhidi ya mwenzi wako, hukuwahi kuwaza wala kufikiria kabisa habari ya kuchepuka. mahitaji yote muhimu unapata
uliwashangaa sana na pengine kuwaonea huruma wengine unawafahamu wanachepuka katika uchumba au ndoa zao.
leo hii na kwa jinsi ulivyo mpole hivyo, tena huenda kwa ujasiri mkubwa, bila soni ama hofu, nini kimesababisha na kukuchochea kuchepuka kwenye uchumba au ndoa yako?