Nini kilikuchochea hadi ukaanza kuchepuka?

Nini kilikuchochea hadi ukaanza kuchepuka?

Hakuna kutafuta kisingizio

Cheater ni cheater tu.

Na mabazazi tukikutana tunajuana. Yaani kuna mwanamke unakutana naye tu unajua huyu ni bazazi mwenzangu
mwajuana kwa vilemba sio 🐒
 
Sina sababu. Ila ni hamu ya kujaribu mali mpya. Haimaanishi kuna kitu nakosa nilipo. So ni hulka. Wanaume wengi tupo hivyo
 
Swala la kuchepuka ni hali ya kitabia tu na sio la kimazingira.
sio ni mazingira zaid, kuliko tabia kwasabb kuna waliobalehe tu wakajikuta tayari wako kwenye ndoa 🐒
 
Sina sababu. Ila ni hamu ya kujaribu mali mpya. Haimaanishi kuna kitu nakosa nilipo. So ni hulka. Wanaume wengi tupo hivyo
dah, kumbe 🐒

hua ni wanaume pekee kwani?
 
Kupewa kwa kupimiwa, unatafuta shangazi(kwa sisi wazee tuna type zetu) then unatulia..
yaani hushibi au kutosheka na cha hapo nyumbani right?

ukiomba uongezewe zaid?🐒
 
Back
Top Bottom