Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nyama moja ya kimburu. Nilipata kwa zari la mentali kipindi nikiwa sijawahi gegeda demu kipindi nimetoka primary naingia secondary. Dada yake alimleta akamtambulisha kwangu na binti akanielewa.

Sikuomba mchezo yeye ndie aliomba. Mwanzoni nikahisi ananidanganya kuwa yeye bikra maana bikra huwa hawaombi mchezo ila nikaja kujiridhisha baada ya show ya kwanza.

So ikawa neema hadi alipoanza machepele yake. Balaa lilianza alipokuwa akiishi alianza mahusiano na blaza m'moja age kama 35 hivi kipindi hicho alikuwa mfanyabiashara so akawa anamrubuni kwa kumuonyesha vibunda vya hela na zawadi ndogo ndogo.

Yule Pimbi akanipa kubwa siku tumekutana kuwa mimi mwanafunzi bado so tunapotezana muda. Nimalize shule nitapata mke wa maisha yangu yeye hakuwa halali yangu kutoka kwa MUNGU. Ile siku niliumia sana. Maana nilipata kwa mara ya kwanza chungu ya moyo ya mapenzi.

Ila ndani ya moyo sikukata tamaa nikaendelea kuwa na hope kuwa pengine amevuta bangi ndio zinambangua.

Tukapotezana kama mwaka tukakutana tena safari hii akiwa mjamzito wa miezi kadhaa karibia kujifungua. Dah nilipata shoti moja kali sana ya ndani kwa ndani hadi ikaunguza fuse ya upendo kwake nikasema famililahi.... Dunia ni ya duara....inazunguka kila siku..... nenda mwana kwenda...... utakwenda utarudi tena utanitokea kwa nyuma utanikuta hapa hapa uliponiacha kwa ukatili wa hali ya juu mbwa wewe.

So nikapiga moyo konde life ikaendelea. Fast-forward leo hii. Alirejea miaka ya baadae kabla ya leo hii akanitafuta na kunisimulia habari za mifarakano kwenye uhusiano wake. Inaonekana jamaa alikuwa na wivu,akawa na wanawake wengine, vipigo, plus binti alilala na mtu mwingine alipopata ujauzito wa mtoto wa pili jamaa akashtuka kuwa amebambikiwa safari hii maana hakuelewa elewa mazingira ya huo ujauzito kutunga akambalasa akarudi kwao Endasaki.

Nilishamleta Dar akaja kwangu na kutubu sana akinitengenezea mazingira kuwa yupo tayari kulianzisha tena na mimi kuwa this time amekoma na amejifunza na kuelewa umuhimu wa mapenzi ya kweli na atatumikia adhabu yoyote nitayompa kwa ukatili alinifanyia.

Nikampanga kuwa nimekubali ombi lake ila anipe muda kwanza niweke mambo sawa. Aliponiuliza mambo gani nikamwambia siri yangu siwezi kumwambia lolote kwa sasa maana siamini mwanamke kwa sasa so siwezi mwambia kitu akakubali bila ubishi. Yupo huko mkoa anasubiria maamuzi yangu mwaka wa nne huu.

Shenzi. Naanzaje mechi na goli mbili tena za kujitakia. Asubirie hadi uzee umkute.....
Aisee.
 
Just imagine std 7 tukaenda o level pamoja advance shule tofauti akapataga mimba ya muhuni akatoa nikamsamehe akaenda chuo akampa na rafiki yangu mbususu ahhh nikasema NAJIWEKA PEMBENI KUEPUSHA MSONGAMANOOOOOOO
Sasa Muda Wote Huo Mpaka anabeba Za Washkaji Wewe Ulikuwa Ukimwagia Wapi?
 
next soma kwa makini.. kuepuka unnecessary comment kwenye nyuzi za watu
Sahii kabisa Mkuu,

Afu vitu vingine tukiwa too emotional tutapoteza hata concentration ya Uzi husika na ban siziso na msingi.

Uyu jamaa Anaongelea habar za elfu 50 Nikiwa STD 6, vitu ambavyo unaona kabisa anajaribu kunilisha Maneno Sijui kwa malengo yapi Sasa.

Kilichoandikwa na Wala hakijaeditiwa Ni sh. 5, ila kwa maksudi anasema Ni elfu 50. Ili mradi tu kuforce ionekane Ni chai.

Sio vizur kutafutana choko choko humu[emoji4]
 
Kumbuka kuna dem wa kwanza kumla na kuna dem wa kwamza kumpenda(kupendana).
Mm wa kwanza kumla sahv namsalimia shikamoo nikikutana nae. Na wa kwanza kumpenda/kupendana nae alishaolewa na mm nishaamua kujiweka mbali nae japo mtoto bado anatuonganisha ila daima huwa naona ndio mwanamke bora kwangu(sababu nitaelezea siku nyingine)
Zimwage mzee!
 
Inategemea,
Mimi wakwangu nilikuja kumuona mwaka Jana kwenye tv. aliingia kwny ishu za umodo, kajikondesha sana kawa mbaya kabaki kichwa na mifupa TU.

Kias kwamba hafiki hata nusu ya standards za mwanamke ambae nilimuona nahamasika uku chini[emoji4]
Maisha yanabadilisha watu.
 
Maisha yanabadilisha watu.
Kabisa, Unaweza jikataa kwamba sio Mimi uyu nilokua na shoboka na hiki kibinti wnzi hizo.

Halafu nilichogundua wanawake wakiwa wakubwa wengine uzur ule wa utotoni unapotea kabisa.
 
Aliniacha akaenda kwa monitor wa darasa tukiwa darasa la 5 aliona Mimi sina madaraka akafata wenye madaraka watu wa serekali
Wanawake ni watu wa kutafta maslahi by nature. Ona kabinti ka darasa la 4 kanakuacha afu kanadate na montor kisa tu ana madaraka.

Je kakifika miaka 19 katakubali kuolewa na ww akati jirani enu ni mbunge?

Yan wanawake bhaaanaaa[emoji23][emoji23][emoji23]they are opportunistic in nature
 
Wanawake ni watu wa kutafta maslahi by nature. Ona kabinti ka darasa la 4 kanakuacha afu kanadate na montor kisa tu ana madaraka. Je kakifika miaka 19 katakubali kuolewa na ww akati jirani enu ni mbunge?

Yan wanawake bhaaanaaa[emoji23][emoji23][emoji23]they are opportunistic in nature
Ha ha ha....
Sahii kabisa wanawake wako opportunistic,

Mimi niliachwa kakakimbilia kwa head prefect, kisingizio "nmeisha fashion".

Kisa Ayo Ayo madaraka
 
Nyama moja ya kimburu. Nilipata kwa zari la mentali kipindi nikiwa sijawahi gegeda demu kipindi nimetoka primary naingia secondary. Dada yake alimleta akamtambulisha kwangu na binti akanielewa.

Sikuomba mchezo yeye ndie aliomba. Mwanzoni nikahisi ananidanganya kuwa yeye bikra maana bikra huwa hawaombi mchezo ila nikaja kujiridhisha baada ya show ya kwanza.

So ikawa neema hadi alipoanza machepele yake. Balaa lilianza alipokuwa akiishi alianza mahusiano na blaza m'moja age kama 35 hivi kipindi hicho alikuwa mfanyabiashara so akawa anamrubuni kwa kumuonyesha vibunda vya hela na zawadi ndogo ndogo.

Yule Pimbi akanipa kubwa siku tumekutana kuwa mimi mwanafunzi bado so tunapotezana muda. Nimalize shule nitapata mke wa maisha yangu yeye hakuwa halali yangu kutoka kwa MUNGU. Ile siku niliumia sana. Maana nilipata kwa mara ya kwanza chungu ya moyo ya mapenzi.

Ila ndani ya moyo sikukata tamaa nikaendelea kuwa na hope kuwa pengine amevuta bangi ndio zinambangua.

Tukapotezana kama mwaka tukakutana tena safari hii akiwa mjamzito wa miezi kadhaa karibia kujifungua. Dah nilipata shoti moja kali sana ya ndani kwa ndani hadi ikaunguza fuse ya upendo kwake nikasema famililahi.... Dunia ni ya duara....inazunguka kila siku..... nenda mwana kwenda...... utakwenda utarudi tena utanitokea kwa nyuma utanikuta hapa hapa uliponiacha kwa ukatili wa hali ya juu mbwa wewe.

So nikapiga moyo konde life ikaendelea. Fast-forward leo hii. Alirejea miaka ya baadae kabla ya leo hii akanitafuta na kunisimulia habari za mifarakano kwenye uhusiano wake. Inaonekana jamaa alikuwa na wivu,akawa na wanawake wengine, vipigo, plus binti alilala na mtu mwingine alipopata ujauzito wa mtoto wa pili jamaa akashtuka kuwa amebambikiwa safari hii maana hakuelewa elewa mazingira ya huo ujauzito kutunga akambalasa akarudi kwao Endasaki.

Nilishamleta Dar akaja kwangu na kutubu sana akinitengenezea mazingira kuwa yupo tayari kulianzisha tena na mimi kuwa this time amekoma na amejifunza na kuelewa umuhimu wa mapenzi ya kweli na atatumikia adhabu yoyote nitayompa kwa ukatili alinifanyia.

Nikampanga kuwa nimekubali ombi lake ila anipe muda kwanza niweke mambo sawa. Aliponiuliza mambo gani nikamwambia siri yangu siwezi kumwambia lolote kwa sasa maana siamini mwanamke kwa sasa so siwezi mwambia kitu akakubali bila ubishi. Yupo huko mkoa anasubiria maamuzi yangu mwaka wa nne huu.

Shenzi. Naanzaje mechi na goli mbili tena za kujitakia. Asubirie hadi uzee umkute.....
Yaan huyu amekuja kwako umsaidie maisha na kulea watoto wake.

Hakuna cha upendo hapo
 
next soma kwa makini.. kuepuka unnecessary comment kwenye nyuzi za watu
Nyuzi za watu, watu ni akina nani?.

Ni kwanamna ipi nimeharibu huu uzi?.

Acheni kuharibu sifa ya Jf kutapika hovyo.
 
Zimwage mzee!
Mwanzo mm nilikuwaga kitombi tu yan nikiisha mwaga sitaki mazoea na ww tena had niwe na ham ya mgegedo tena ila kwa huyu nilijifunza mengi.

Kwanza alinionesha mapenzi sio sex tu. Alinifanya nikabadirika nikanza kucheka na kuongea na watu wa nyumban (mm nilikuwa ni mtu wa salam tu nimemaliza sina time ya kukaa kupiga story na mtu nilipenda sana kujitenga)

Alinielewa zaidi kuliko ata maza anavyo nijua (alijua wapi na fake wap nipo really). Kwake nilikuwa naweza kupoozwa ata kama nina hasira kias gan

Alinifanya nikajua kufurahi (alidanya kila awezalo ilimrad niwe na furaha)

Alikuwa mshauri mzuri japo kuna mda nilikuwa nampuuza ila hakupenda kuniona nikivunjika moyo.

Heshima, kiukwel alijua nafas ya mwanamke kwenye mahusiano ata tukigombana baadae atatafta njia nzuri ya kuyamaliza.

Ni mambo mengi kiukwel care yake ilikuwa ni ya hali ya juu sijawi pata kwa wanawake wengne waliofata baada yake na ata wao huwa nawambia kabsaa kuwa nipo nao kwa sababu nawapenda ila hawaja mfikia ata nusu Z.
 
**-KUPENDANA

My 1st love alikua anaitwa Latifa, bonge moja pisi (baba yake alikua mhindi mama yake mzanzibar mwenye asili ya kiarabu) huyu mtoto alikua kisu shule nzima, nakumbuka nilikua nimemtangulia madarasa kadhaa.
Wakati huo nilikua bonge la domo gundi, nilikua siwezi kabisa kumsalimia mtoto yoyote wa kike "Mambo" wala kuongea nae kama sijamzoea.

Enzi hizo mpira wa miguu, volleyball then kutumikia misa kanisani na zile mambo za kupiga chetezo ndio vilikua kama demu wangu, kifupi ndio vilikua vitu vilivyonipa furaha sana wakati huo.

Zile mambo za ukauzu na kujikuta mgumu mimi na wanangu ndio tuliona dili, yani ukiacha mpira ukawa una deal na issue za wanawake tunakuona kama snitch, mchumba, boya flani hivi uliyepotea njia, kumbe maskini ya Mungu wote circle nzima tulikua madomo gundi [emoji23]

Ikatokea kama zali tu nikafahamiana na Latifa kupitia volleyball, yeye akawa amenizoea na confidence ya kuongea na mimi anayo lakini mimi nikawa sina, kwanza nilikua m/kiti wa madomo zege Afrika mashariki na kati, pili nilijidharau nikaona kabisa huyu mtoto sio type yangu halafu mimi ni mgumu siwezi kuwa snitch wanangu kisa demu.

Cha ajabu nikikaa peke yangu najiona kabisa kua nampenda dogo, nikimuona au nikiwa karibu nae kuna furaha fulani ya ajabu naipata.
Moyo ukawa radhi ila mdomo ni dhaifu, nikawachana wanangu kua nampenda T, hawakushtuka sana sababu walijua domo zege mimi mission tu itakua failed. Na kweli ikawa hivo, kila nikipanga kumwambia T kua nampenda naona mdomo unakua mzito kama nimeshindiliwa mkate mgumu mdomoni.

Bahat nzuri T nae akajiongeza, akaona kabisa weakness yangu ni ipi, ndo ile wanasema mwanamke akipenda amependa kweli. Mtoto alinitengenezea mazingira akarahisisha kila kitu lakini nilivo fala nikawa naona mapicha picha tu ka nimelogwa, yeye mwenyewe hadi watu wengine wakawa wanaiambia we fala kusoma hujui hata kuona picha.

Kwa effort zake, wanangu japo walikua madomo zege kama mimi wakajikuta wamemzoea sana hapo ndipo waka gain confidence nao waka play part yao kama wana wakaniitia mtoto kibishi hivo hivo nikajikuta nimetongoza kwa kujiuma uma na jasho jingi, nadhani mtoto alivoondoka alinicheka sana maana nilipigwa na kigugumizi cha michongo [emoji847]

Mapenzi yetu yalianzia hapo, tulipendana sana aiseh, she was so beautiful, walimu walimtongoza, wale mabishoo wa shule lakini wapi mtoto alitokea kunipenda mimi tu boya flani hivi, hapo ndio nikagundua kua love is priceless you can't buy it (If it cost you anything that is not love)
Haya mahusiano wanangu walikua wanayaita zali la Titanic.

Latifa alinipenda sana sijui nilimpa nini, furaha yake ilikua ni kuniona tu na kua na mimi karibu, aliniambia akiwa around me kuna amani fulani hua anaipata, kuhusu pesa kwake haikua big deal kwao wanazo za kutosha, sijui alizizoea au ndio upendo.

Mtoto alikua tayari nimuoe, she was a muslim na mimi ni mkatoliki but hakujali kuhusu hilo, alikua aniambia lazima unioe, ilifika stage shuleni akaacha kuvaa hadi zile hijab japo mimi sikumkataza. Walimu wanoko hasa wale walioshindwa kumpata wakapeleka taarifa kwao mzee wake akataka kumuhamisha shule lakini aligoma katakata akasema mkinihamisha shule nyingine mimi sisomi.

Ikabidi ticha mmoja aje kuongea na mimi akanichimba mkwara kuhusu dogo kua nikae nae mbali na wala nisimharibie maadili yake kwa sababu wazazi wake wamesema wata deals na mimi, sema sikujali sana sababu na mimi mzazi wangu mmoja yupo huko huko kwenye system.

**-KUACHANA

Nilikua nampenda sana T lakini bahati mbaya sana sikua romantic, kwangu mpira wa miguu ndio ulikua kila kitu, japo nilimpenda ila yeye kwangu alikua ni ziada. Sikufanya makusudi ila ni vile tu nilikua bado beginner kwenye sekta ya mapenzi.

Muda mwingi tuliospend pamoja na effort zake mwenyewe, ikitokea akanibana nikawa nae muda wote hadi nikakosa kwenda mpirani au kwenye volleyball basi moyoni ningeumia sana kupita kiasi.

So sikujua umuhimu wa kumpa muda, hapo tulikua shule, nilipomaliza nikamuacha shule, kama mwaka hivi mapenzi yakaendelea, uzuri tulikua sehemu moja hivo tulipopata nafasi wakati wa likizo tulionana na tukaendelea hivo.

Baada ya muda ule umbali wetu na kutowasiliana mara kwa mara ukabadilisha mambo, Pole pole Latifa akaanza kubadilika, kwanza nadhani alichoka kutumia effort kubwa, pili distance ilimfanya azoee ile hali kua she can survive without me.

Hapo na mimi akili ikafunguka nikajikuta sasa ndio nampenda zaidi kuliko awali, nikaanza kutumia muda mwingi kumtafuta, kumjali lakini kwake nahisi it's was over, nikaanza kusikia juu juu kua kapata jamaa mwingine.

Ikaenda ikawa tupo tupo tu hatujui hata mahusiano yetu yanahusiana na nini, mwisho wa siku ikabidi tu aniambie ukweli kua, "I Loved but for now naomba kila mtu aendelee na maisha yake, I want to be free zaidi na mambo yangu binafsi"

Niliumia sana lakini sikua na jinsi ndio hapo nikajifunza kua (forever doesn't exist) everything in this life comes with an expire date.

I miss those days
 
**-KUPENDANA

My 1st love alikua anaitwa Latifa, bonge moja pisi (baba yake alikua mhindi mama yake mzanzibar mwenye asili ya kiarabu) huyu mtoto alikua kisu shule nzima, nakumbuka nilikua nimemtangulia madarasa kadhaa.
Wakati huo nilikua bonge la domo gundi, nilikua siwezi kabisa kumsalimia mtoto yoyote wa kike "Mambo" wala kuongea nae kama sijamzoea.

Enzi hizo mpira wa miguu, volleyball then kutumikia misa kanisani na zile mambo za kupiga chetezo ndio vilikua kama demu wangu, kifupi ndio vilikua vitu vilivyonipa furaha sana wakati huo.
Zile mambo za ukauzu na kujikuta mgumu mimi na wanangu ndio tuliona dili, yani ukiacha mpira ukawa una deal na issue za wanawake tunakuona kama snitch, mchumba, boya flani hivi uliyepotea njia, kumbe maskini ya Mungu wote circle nzima tulikua madomo gundi [emoji23]

Ikatokea kama zali tu nikafahamiana na Latifa kupitia volleyball, yeye akawa amenizoea na confidence ya kuongea na mimi anayo lakini mimi nikawa sina, kwanza nilikua m/kiti wa madomo zege Afrika mashariki na kati, pili nilijidharau nikaona kabisa huyu mtoto sio type yangu halafu mimi ni mgumu siwezi kuwa snitch wanangu kisa demu.

Cha ajabu nikikaa peke yangu najiona kabisa kua nampenda dogo, nikimuona au nikiwa karibu nae kuna furaha fulani ya ajabu naipata.
Moyo ukawa radhi ila mdomo ni dhaifu, nikawachana wanangu kua nampenda T, hawakushtuka sana sababu walijua domo zege mimi mission tu itakua failed. Na kweli ikawa hivo, kila nikipanga kumwambia T kua nampenda naona mdomo unakua mzito kama nimeshindiliwa mkate mgumu mdomoni.

Bahat nzuri T nae akajiongeza, akaona kabisa weakness yangu ni ipi, ndo ile wanasema mwanamke akipenda amependa kweli. Mtoto alinitengenezea mazingira akarahisisha kila kitu lakini nilivo fala nikawa naona mapicha picha tu ka nimelogwa, yeye mwenyewe hadi watu wengine wakawa wanaiambia we fala kusoma hujui hata kuona picha.

Kwa effort zake, wanangu japo walikua madomo zege kama mimi wakajikuta wamemzoea sana hapo ndipo waka gain confidence nao waka play part yao kama wana wakaniitia mtoto kibishi hivo hivo nikajikuta nimetongoza kwa kujiuma uma na jasho jingi, nadhani mtoto alivoondoka alinicheka sana maana nilipigwa na kigugumizi cha michongo [emoji847]

Mapenzi yetu yalianzia hapo, tulipendana sana aiseh, she was so beautiful, walimu walimtongoza, wale mabishoo wa shule lakini wapi mtoto alitokea kunipenda mimi tu boya flani hivi, hapo ndio nikagundua kua love is priceless you can't buy it (If it cost you anything that is not love)
Haya mahusiano wanangu walikua wanayaita zali la Titanic.

Latifa alinipenda sana sijui nilimpa nini, furaha yake ilikua ni kuniona tu na kua na mimi karibu, aliniambia akiwa around me kuna amani fulani hua anaipata, kuhusu pesa kwake haikua big deal kwao wanazo za kutosha, sijui alizizoea au ndio upendo.
Mtoto alikua tayari nimuoe, she was a muslim na mimi ni mkatoliki but hakujali kuhusu hilo, alikua aniambia lazima unioe, ilifika stage shuleni akaacha kuvaa hadi zile hijab japo mimi sikumkataza. Walimu wanoko hasa wale walioshindwa kumpata wakapeleka taarifa kwao mzee wake akataka kumuhamisha shule lakini aligoma katakata akasema mkinihamisha shule nyingine mimi sisomi.
Ikabidi ticha mmoja aje kuongea na mimi akanichimba mkwara kuhusu dogo kua nikae nae mbali na wala nisimharibie maadili yake kwa sababu wazazi wake wamesema wata deals na mimi, sema sikujali sana sababu na mimi mzazi wangu mmoja yupo huko huko kwenye system.

**-KUACHANA

Nilikua nampenda sana T lakini bahati mbaya sana sikua romantic, kwangu mpira wa miguu ndio ulikua kila kitu, japo nilimpenda ila yeye kwangu alikua ni ziada. Sikufanya makusudi ila ni vile tu nilikua bado beginner kwenye sekta ya mapenzi.
Muda mwingi tuliospend pamoja na effort zake mwenyewe, ikitokea akanibana nikawa nae muda wote hadi nikakosa kwenda mpirani au kwenye volleyball basi moyoni ningeumia sana kupita kiasi.

So sikujua umuhimu wa kumpa muda, hapo tulikua shule, nilipomaliza nikamuacha shule, kama mwaka hivi mapenzi yakaendelea, uzuri tulikua sehemu moja hivo tulipopata nafasi wakati wa likizo tulionana na tukaendelea hivo.

Baada ya muda ule umbali wetu na kutowasiliana mara kwa mara ukabadilisha mambo, Pole pole Latifa akaanza kubadilika, kwanza nadhani alichoka kutumia effort kubwa, pili distance ilimfanya azoee ile hali kua she can survive without me. Hapo na mimi akili ikafunguka nikajikuta sasa ndio nampenda zaidi kuliko awali, nikaanza kutumia muda mwingi kumtafuta, kumjali lakini kwake nahisi it's was over, nikaanza kusikia juu juu kua kapata jamaa mwingine.
Ikaenda ikawa tupo tupo tu hatujui hata mahusiano yetu yanahusiana na nini, mwisho wa siku ikabidi tu aniambie ukweli kua

"I Loved but for now naomba kila mtu aendelee na maisha yake, I want to be free zaidi na mambo yangu binafsi"

Niliumia sana lakini sikua na jinsi ndio hapo nikajifunza kua (forever doesn't exist) everything in this life comes with an expire date.

I miss those days [emoji21][emoji21]
Very emotional narration...
 
Back
Top Bottom