sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nilipata kazi baada ya msoto wa miezi kama mitatu hivi lakini hiyo kazi ilikuwa ni saa moja asubuhi hadi saa mbili usiku kila siku kasoro Jumapili, na mshahara ulikuwa ni elf 80.
Hapo nauli pekee ilikuwa elf 10, msosi elf 30, geto nikiongezea bili ni elf 30, mwenye nyumba mpare hataki maneno, niliishi maisha ya kukopa sana aisee!
Nilipata kazi nyingine hii ni kila siku lakini ni saa tatu asubuhi hadi saa 10 jioni, mshahara laki 3, nikasema hapa nimelamba dum.
Mwisho wa mwezi umefika naona kimya, nililipwa tarehe 4 shilingi laki 1, bosi akasema atafidia mwezi ujao atanilipa laki 5, nikasema wacha nivumilie lakini cha ajabu yakawa yale yale, tarehe 31 imefika bado kimya.
Imefika tarehe 2 namkumbusha bosi yeye ananipa elf 70, daah! Bosi mwenyewe mjanja sana ana marafiki zake mapolisi nikaona hapa sina ujanja nikasepa.