Nini kilikufanya usifikie ndoto yako ya Upadrisho?

Wito wa upadre ulikufa rasmi baada ya kufall in love na pisi moja ilikuwa inasoma weruweru miaka hiyo.

Siku hiyo ilikuwa hivi, tulikutana eneo la wazi movement ya watu ni ndogo mno sijui ni kwa sababu kulikuwa na kiingilio, ni uhuru park kwa wakazi na wenyeji wa moshi mtakuwa mnapajua. Tukala na kunywa baada ya hapo mipapaso ikawa mingi, ghafla si akafungua zipu na kuanza kuinyonya, ile raha ilitosha kuzima ndoto ya kuwa padri.

Muda ukasogea mama akaniambia mwanangu ile nafasi uliniambia nikutafutie ya kwenda mafunzo seminari imepatikana. Bila kusita nilimwambia mama mimi sitaki tena hayo mambo na msimamo wangu ukawa huo. Sababu kubwa ni zile raha na yule ke nilimwambia nataka kuwa padri akalia sana kuwa namuacha, ila yajayo yanafurahisha yeye ndio akaja niacha.
 
hahahah Uhuru park napajua sana si pale KKKT
 
Duh na na ndoto za upadiri zikayeyuka....
 
Dah madem walaaniwe, ningekuwa Fr now , loh
 
mbona mimi sijayumba niko fresh tu ila ibadani ndio nimeacha kwenda kabisa
Wewe haujawahi hata kukanyaga Seminari, wewe ulikuwa na ndoto ya kuwa padre lkn hakuwahi kukugusa hata hatua moja ya huo wito.
 
hahahah Uhuru park napajua sana si pale KKKT
Yes ni nyuma ya kanisa la KKKT, pale ndio shetani alipatumia kuzima ndoto yangu ya upadri.
Nilishauriwa sana na masista na mabruda lakini wapi, maana ndio walikuwa watu wangu wa karibu sana kutokana na nilichokuwa nakitaka.

Kuna mmoja nilikuwa nasoma nae kwa sasa ni padri aliniambia ameniota huku napokimbilia ni kubaya, nitakuja kujutia na itakua too late, kuna kipindi mahusiano yalinipiga kweli kweli nikawa nayakumbuka sana maneno yake.
 
Nilitumikia Kristu Mfalme hapo 1989 to 1994 kiukweli nilikuwa na malengo ya kufika ngazi ya upadre shida ilikuwa kujuana Sana nikaishia kwenda shule za Serikali by then Old MOshi hapo. Pls mwenye nyimbo ya shirika la MT Aloyce Ile tuliimbia kabla na baada ya kukutana kila jumamosi mwenye nao anisaidie au autupie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…