Nina 7 years nikajiunga na shirika la St Aloyce. Na ufupi wangu huu sijapangwa ila Aloyce na ufupi wake kapangwa. Nikarudi home nikamwambia bro shirika lenyewe silitaki na upadre siutaki. Nimekuja kwenda seminary form six baada ya kufukuzwa serikalini naulizwa na Rekta una hamu ya kuwa padre, pale pale nikaamwambia HAPANA. Nataka maadili yenu tu. Maza akafurahi anafikiri mwanae naenda kuwa padre nikamwambia hata usiote niliukataa toka 2000