Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Nikikumbuka nacheka sana.
Nilipomaliza chuo nilipata internship mahala fulani, baada ya mwaka nikapata fulltime job kwenye NGO moja kubwa sana hapa TZ, hapo nilikua kijana wa starehe sana. Nilikua nna tabia moja mbovu sana mwisho wa mwezi, mshahara ukiingia nusu yake nalewea na kuspenda na warembo tu, hapo najua pale kazini mabonus na overtime yapo kibao.
Sasa siku moja nipo kiwanja fulan maarufu sana hapa DSM, nmeagiza kwa fujo balaa niko na wadau wawili. Mmoja wetu alikua anasomea China kwa scholarship kaja likizo tu DSM. Tuko pale kila mtu akawa anavizia dem wa kutoka nae na akapata. Sasa mimi napenda sifa sana kiukweli, nikakonyeza pisi moja hatari, vijana wa siku hizi mnaita pisi ya kwendaaaaa, dem akaja pale.
Dem kakaa anasikiliza story tunazopiga huku anakunywa, tunapiga story za kiboss sana, enzi hizo ipad bonge la dili, mshikaji wetu wa china alikua nayo pale tunapiga picha tu.
Muda wa kwenda sasa ndipo nliposema nitafanya juu chini niwe tajiri, Ilikua hivi: Dem muda wote anajua mimi nina gari, akili yake ilimtuma hivo kutokana na first impression nloiweka, ile tunatoka nje dem anashangaa naita boda boda, khaaaaa... wakuu niliambulia matusi hio siku hadi leo yana-replay akilini. Yule binti alinitukana eti "Muda wote unanipigisha story kumbe unakuja kunipandisha boda, huko penyewe hautakua na hela ya kunilipa, kalale na walala njaa wenzako"
Basi kuanzia hio siku nikasema lazima nijibane ninunue gari aisee