Nini kilikuvutia na kukufanya uanze Computer Programming (CODING)

Nini kilikuvutia na kukufanya uanze Computer Programming (CODING)

I love coding,ni baada yakuonekana kilaza lakini class nawanyoosha,
 
Dha, umenikumbusa mbali sana aise. Kwangu ilikua ivi Tokea nikiwa mdogo mpaka nilipofika form 2 malengo yangu yalikua nije we financial analyst (Mtua anayechambua financial data).

sasa baada ya kumaliza form 2, form 3 nikajiunga na masoma ya biashara (bookkeeping & Commerce ) ili nije niwe financial analyst. nikiwa nipo form three matokeo ya mwezi wa nne ( Ile mitihani ya likizo ya pasaka) nilikua nimeongoza matokeo ya math nimekua wakwanza nakumbuka Cybergates mjuba niliwaburuza vibonde wangu, nilivyo rudi nyumbani likizo na list ya matokeo ya ile Qtr, home wali enjoy kinoma kwa sababu nilikua position ya juu sana darasan pia ukiangalia sisi tuio bahatika kusoma hizi shule zetu "mabasi ya njano". Home wakaja ninunulia cm ya Nokia asha C3 (sikumbuki vizuri kama jina ndo hilo ila ilikua kubwa kubwa).

sasa baada ya kupata ile nokia nikaanza kutumia google(Nakumbuka kipindi hicho voda ya jero unapata Mb 25 ivi na dk kadhaa). sasa nakumbuka nilikosea google. nili open google alfa baadala ya ku search nikaandika google kwenye search bar ya google sasa link ya kwanza ilikua ya Google wikipedia, nivyo fungua ile page ya wiki ikaniletea article ya google Inc, Kusema ukweli google ilinivutia sana kuanzia kampun had product zao.

Baada yapo nikaanza ku kusoma kuhusu google product labda nasoma leo kuhusu gmail kesho gmap etc. Baada ya mda nikaja kujua kuna kitu kinaitwa sijui computer programming. so likizo ya April ikaisha. nekarudi shule mwezi wa sita likizo nikaendelea.

sasa wezi wa sita nilivyorudi nikaanza ku google kuhusu computer programming course, nikakuta chuo DIT kinatoa hii course,kusoma qualification nikakuta most ni watu walio soma science o-level na mm nasoma biashara, kikaongea na academic master nikamuuliza kuhusu kubadilisha nitoke biashara niende science akaniambia haiwezekani mdaumesha enda shana.

kuanzia form three hadi form four kuna mambo mengi sana hapa katikati yalitokea mpaka leo Najivunia kuwa software engineer.

Kwangu mm google ndo ili ni empress.

kwa mara ya kwanza hizindo code zangu kwenye programming



HTML ya kwanza
HTML:
<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
    <title>sample two</title>
    <link href="home.css" rel="stylesheet" type="text/css">
      <link href="font-awesome.css" rel="stylesheet"  type="text/css"/>


</head>
<body>
    <header>
        <div class="row">
            <div class="logo">
                <img src="log.jpg">



            <ul class=" main-nav">
                <li class="active"><a href=""> HOME </a></li>
                <li><a href="#"><i class=" fa fa-bar-chart-o">MAIN </i></a></li>
                <li><a href="#"> CHAT </a></li>
                <li><a href="#"> MAP</a></li>
                <li><a href="#"> EMAIL </a></li>
                <li><a href="#"> FAQ </a></li>
            </ul>
    </div>
    <div class="hero">
               <h1><i class="fa fa-angle-right"></i> Advanced Form Components</h1>

            <a href="" class="btn btn-one">watch video</a>
            <a href="" class="btn btn-two">exlore more</a>

    </div>
    </header>
</body>
</html>


CSS ya Kwanza

CSS:
*
{
    margin: 0px;
    padding: 0px;
}

header
{
    background-image:url(back.jpg);
    height: 100vh;
    background-size: cover;
    background-position: center;
}
.main-nav
{
    float: right;
    list-style: none;
    margin-top: 30px;
}

.main-nav li
{
    display: inline-block;
}
.main-nav li a
{
    color: white;
    text-decoration: none;
    padding: 5px 20px;
    font-family: "roboto", sans-serif;
    font-size: 15px;
}
.main-nav li.active a
{
    border: 1px solid white;
}
.main-nav li a:hover
{
    border: 1px solid white;
}
.logo img
{
    width: 100px;
    height: auto;
    float: left;
}

body
{
    font-family: monospace;
}

.hero
{
    position: absolute;
    width: 1200px;
    margin-left: 0px;
    margin-top: 0px
}

h1
{
    color: white;
    text-transform: uppercase;
    font-size: 70px;
    text-align: center;
    margin-top: 275px;
}

.button
{
    margin-top: 30px;
    margin-left: 440px;
}

.btn
{
    border: 1px solid white;
    padding: 10px 30px;
    color: white;
    text-decoration: none;
    margin-right: 5px;
    font-size: 13px;
    text-transform: uppercase;
}
.btn-one
{
    background-color: darkorange;
    font-family: "roboto", sans-serif;

}

.btn-two
{
    font-family: "roboto", darkorange;

}

.btn-two:hover
{
    background-color: darkorange;
    transform: all 0.5s ease-in;

}


Itakote ivi

View attachment 1463800
Dah mkuu unaonekana pia ni mkarimu mno God bless you afu sio mchoyo uishi utakavyo
 
Napenda coding but i am empty plate sijui nianzie wapi japo nasoma now kitabu iki ili sijui kama kitanisaidia kama kuna msaada naombeni asa wa kitabu maana totorial nyingi youtube ni za kawaida naonaga ivo
 

Attachments

Binafsi tangu utotoni nikisikia neno computer kiukweli hata nafsi na akili zangu zote kuhisi furaha ya ajabu sana hata nikimuona mtu anatumia kompyuta kwenye stationary nasikia hulka ya tofauti kabisa, hata sasa nakiri bado nipo katika safari yangu ya kuleta mapinduzi katika tasnia ya IT na Tehama kwa ujumla Inshallah #KwaPamoja
#Tutafika
 
Back
Top Bottom