Nini kilikuvutia na kukufanya uanze Computer Programming (CODING)

I love coding,ni baada yakuonekana kilaza lakini class nawanyoosha,
 
Dah mkuu unaonekana pia ni mkarimu mno God bless you afu sio mchoyo uishi utakavyo
 
Napenda coding but i am empty plate sijui nianzie wapi japo nasoma now kitabu iki ili sijui kama kitanisaidia kama kuna msaada naombeni asa wa kitabu maana totorial nyingi youtube ni za kawaida naonaga ivo
 

Attachments

Binafsi tangu utotoni nikisikia neno computer kiukweli hata nafsi na akili zangu zote kuhisi furaha ya ajabu sana hata nikimuona mtu anatumia kompyuta kwenye stationary nasikia hulka ya tofauti kabisa, hata sasa nakiri bado nipo katika safari yangu ya kuleta mapinduzi katika tasnia ya IT na Tehama kwa ujumla Inshallah #KwaPamoja
#Tutafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…