Nini kilimkuta beki wa USA katika goli hili la Ghana?

Nini kilimkuta beki wa USA katika goli hili la Ghana?

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kuna goli moja aliwahi kufunga mshambuliaji wa Ghana, Asamoah Gyan katika Kombe la Dunia 2010 katika mechi ya Ghana vs USA.

Wakati Gyan anaelekea kufunga aligongana na beki wa USA, Carlos Bocanegra (jersey # 3) ambaye alionekana kupoteza uelekeo huku akiangaza juu, halafu Gyan akapata fursa ya kufunga. Hili tukio sijawahi kulielewa. Huwa nawaza labda Gyan alikuwa yuko full nondo kwa yale mambo yetu ya Kiafrika, mzungu alivyomgonga akagusa kitu kizito akapoteana.

Kwanini hawakutumia hayo mambo yao wakachukua Kombe au hata kufunga ile penalty ? Au Uruguay nao wana mambo yao ?
Kuna wakati unaupiga mwingi hadi unamwagika ndo kilichoikuta ile Ghana 🤣😂🤣
 
Ukiufaulu, tatizo lako litakuwa solved. Hao modes hata uwasubirie miaka 100, hawatokuwa na msaada kwenye ilo
Ila ni tatizo lililoanza wiki iliyopita, sikuwa nalo hapo kabla na nimeupdate chrome ila bado lipo. Ndiyo maana nikadhani ni kitu kilicho upande wao.
 
Kuna goli moja aliwahi kufunga mshambuliaji wa Ghana, Asamoah Gyan katika Kombe la Dunia 2010 katika mechi ya Ghana vs USA.

Wakati Gyan anaelekea kufunga aligongana na beki wa USA, Carlos Bocanegra (jersey # 3) ambaye alionekana kupoteza uelekeo huku akiangaza juu, halafu Gyan akapata fursa ya kufunga. Hili tukio sijawahi kulielewa. Huwa nawaza labda Gyan alikuwa yuko full nondo kwa yale mambo yetu ya Kiafrika, mzungu alivyomgonga akagusa kitu kizito akapoteana.

Sasa hivi kwenye account yangu siwezi kuattach picha wala video ila ukiweza itafute hiyo video. Nitajaribu baadae tena kuiweka video nione kama nitafanikiwa.
Pengine alipata head injury.
 
Video hii hapa.

Nilichofanya ni kupaste tu link hapa naona imekubali ila buttons zote hapa bado hazifanyi kazi.
 
Kwanini hawakutumia hayo mambo yao wakachukua Kombe au hata kufunga ile penalty ? Au Uruguay nao wana mambo yao ?
Labda mganga aliwaambia atawafikisha robo huko kwingine ni juhudi zao
 
Mbona me naona kawaida kbs hasa unapokuwa umechoka mshtuko wa mishipa ya kichwa
Ukizingatia eneo tukio lilipotokea, sidhani kama ni sahihi kusema ni tukio la kawaida. Jomba alipoteza network.
 
All in all jamaa amestaafu zake soka akiwa na miaka 37. Atakumbukwa kwa kukosa ile penalt ya suarez.
Sasa hv yumuombee tu asiwe kama Eboue
Ni kweli kastaafu hivi karibuni ila ile penati ni uthibitisho tosha si kweli kuwa magoli ya penati yana thamani ndogo kama baadhi ya watu walivyokuwa wanasema hapo majuzi.
 
Back
Top Bottom