Nini kilimkuta beki wa USA katika goli hili la Ghana?

Nini kilimkuta beki wa USA katika goli hili la Ghana?

Kuna goli moja aliwahi kufunga mshambuliaji wa Ghana, Asamoah Gyan katika Kombe la Dunia 2010 katika mechi ya Ghana vs USA.

Wakati Gyan anaelekea kufunga aligongana na beki wa USA, Carlos Bocanegra (jersey # 3) ambaye alionekana kupoteza uelekeo huku akiangaza juu, halafu Gyan akapata fursa ya kufunga. Hili tukio sijawahi kulielewa. Huwa nawaza labda Gyan alikuwa yuko full nondo kwa yale mambo yetu ya Kiafrika, mzungu alivyomgonga akagusa kitu kizito akapoteana.


Jamaa alijua mpira Bado upo juu,kama umecheza mpira japo kidogo utaelewa hii
 
Back
Top Bottom