Nini kilimkuta beki wa USA katika goli hili la Ghana?

Mimi naona jamaa alichanganyikiwa kipindi kile tungesema jamaa alikuwa anona nyota nyota baada ya kukigonga kichwa cha Gyan.



Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa alijua mpira Bado upo juu,kama umecheza mpira japo kidogo utaelewa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…