GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Chama alichokuwepoKama katiba pendekezwa ya Jaji Joseph Warioba ingepitishwa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete angeingia kwenye historia ya kuniletea Tanzania katiba ya kimageuzi!
Kama hiyo katiba ingepita, ingemweka Kikwete kwenye nafasi ya kukumbukwa na vizazi vingi kama "mwanamageuzi" nchini. Ilibaki kidogo tu aipate hiyo heshima!
Nini kiliingilia huo mchakato na kupelekea Kikwete kuponyokwa na hiyo heshima?
Angekuwa amelisadia taifa sana. Maslahi binafsi na kutokuwa na nia ya dhati kusaidia nchi yalimpoteza.Kama katiba pendekezwa ya Jaji Joseph Warioba ingepitishwa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete angeingia kwenye historia ya kuniletea Tanzania katiba ya kimageuzi!
Kama hiyo katiba ingepita, ingemweka Kikwete kwenye nafasi ya kukumbukwa na vizazi vingi kama "mwanamageuzi" nchini. Ilibaki kidogo tu aipate hiyo heshima!
Nini kiliingilia huo mchakato na kupelekea Kikwete kuponyokwa na hiyo heshima?
Huyu mbingu atazisikia tu kwa jina!Angekuwa amelisadia taifa sana. Nini maslahi binafsi na kutokuwa na nia ya dhati kusaidia nchi.
Mazee ya ccm yanayonufaika na mfumo wa kifisadi ndio yalizuia katiba mpya
Kikwete alipewa maelekezo kuacha kuendelea na mchakato Hana kosa lolote yule mzee lasivyo wangekuwa washa murestisha in peace ndio maana akawaachia nchi yenu!!
Shida kubwa ninayoiona ni CCM kutokuwa chama Cha siasa na kujigeuza dola
Hii nchi haitakaa ipate maendeleo chini ya Hawa nzi wa kijani!!
Mkuu, mbona unashangaa? Anayekuweka madarakani ndiye anakulisha maneno ya kuyazungumza kwenye kadamnasi.Hii kali! Rais anatishwa na kuogopa?? Pathetic
Mbona wewe hujisemei, mkuu? Ungekuwa si mbinafsi, basi ungetoka mitaani uongoze maandamano kutwa kuchwa hadi kieleweke, katiba ipatikane. Acha kuwasingizia hao wenyewe.UKAWA, CCM na JK wataisikia tu mbingu kwa wengine. Ubinafsi wao umetuondolea wananchi nafasi adimu sana ya kuwa na Katiba bora kabisa ya Wananchi.
Mimi nilitimiza wajibu wangu kwa kutoa maoni kwa jopo la viongozi wa tume ya katiba waliozunguka kote nchini kukusanya maoni. Unataka niandamane ili iweje?Mbona wewe hujisemei, mkuu? Ungekuwa si mbinafsi, basi ungetoka mitaani uongoze maandamano kutwa kuchwa hadi kieleweke, katiba ipatikane. Acha kuwasingizia hao wenyewe.
Kama yeye angeweza kufanya, alikuwa na nini zaidi yako? Na wewe kama unashindwa, una nini kinachokunakisi kwake?
Mkuu, kwa hiyo baada ya hapo ukakunja mikono yako mgongoni na kubaki kuwakodolea tu macho ya uzodoaji?Mimi nilitimiza wajibu wangu kwa kutoa maoni kwa jopo la viongozi wa tume ya katiba waliozunguka kote nchini kukusanya maoni. Unataka niandamane ili iweje?
Mimi nilihusika kwenye kuwachagua wajumbe wa lile bunge la katiba? Nilihusika kwenye mivutano yao ya serikali mbili, au tatu?
UKAWA, CCM na JK wataisikia tu mbingu kwa wengine. Ubinafsi wao umetuondolea wananchi nafasi adimu sana ya kuwa na Katiba bora kabisa ya Wananchi.
Bado hujui mengi ππππHii kali! Rais anatishwa na kuogopa?? Pathetic
Sawa sijui wewe unayejua sema basi! Nachukua kauli yake japo inaweza kuwa ya kinafiki aliposema urais wake hauna ubia! Kwa nini niamini hawezi kama hajasema yeye kukanusha kauli yake ya awali?Bado hujui mengi ππππ
Nashangaa ndio kwa sababu najua kawekwa na wananchi na ukishakua rais unamuogopa nani tena? Angefanya tu kibingwa tubaki tunasema alishakuwepo rais bingwa na akabadilisha historia ya nchi, hamna hero anakuwa kiurahisi, unasimiamia unachoamini no matter what! Alipoteza opportunity na naamini anaijutia hata kama hasemi! Aende kwenye matamasha ya kina shilole tu sasa kujifarijiMkuu, mbona unashangaa? Anayekuweka madarakani ndiye anakulisha maneno ya kuyazungumza kwenye kadamnasi.
Kwani huwaoni akina Joe Biden na Kamala wake wakizurura na teleprompter na vijimemo na notisi wakati wote wanapoongea na umma?
Yaani, wanaweza kutaka kusema kitu, lakini kitu chenyewe hakikuandikwa; hapo wanalazimika kukimezea tu kana kwamba hawakioni wala hawakijui.
Kwa faida yako nitakuambia leo kwa nini Rasimu ya Katiba ya Warioba ilitupwa. Kulikuwa na kifungu cha Marais kuwajibika kwa makosa yao watakayokuwa wamefanya wakiwa madarakani. Sasa Jakaya aliruhusu na alipokea fedha za Escrow kutoka kwa Harbinder Singh/ Rugemalira.Kama katiba pendekezwa ya Jaji Joseph Warioba ingepitishwa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete angeingia kwenye historia ya kuiletea Tanzania katiba ya kimageuzi!
Kama hiyo katiba ingepita, ingemweka Kikwete kwenye nafasi ya kukumbukwa na vizazi vingi kama "mwanamageuzi" nchini. Ilibaki kidogo tu aipate hiyo heshima!
Nini kiliingilia huo mchakato na kupelekea Kikwete kuponyokwa na hiyo heshima?
Wewe maneno hayo kakwambia nani Kikwete au Chenge?Kwa faida yako nitakuambia leo kwa nini Rasimu ya Katiba ya Warioba ilitupwa. Kulikuwa na kifungu cha Marais kuwajibika kwa makosa yao watakayokuwa wamefanya wakiwa madarakani. Sasa Jakaya aliruhusu na alipokea fedha za Escrow kutoka kwa Harbinder Singh/ Rugemalira.
Wakati huo huo Andrew Chenge naye akiwa ni mnufaika wa Escrow kutoka kwa Rugemalira. Ndipo akamtonya Jakaya kuwa kama Rasimu ya Warioba itapita basi hicho kifungu cha Marais kuwajibika kwa makosa waliyofanya, basi ajiandaye kushtakiwa na kufungwa.
Jiulize kwa nini Dr Mvungi aliuliwa utapata majibu ya kwa nini mchakato ulikwama.
Ndipo Jakaya Kikwete akaelewa na kuamua kuuvuruga mchakato wa Katiba kwa kuogopa kuja kushtakiwa