Mibangi tuu, jana huyo ndumbaro kasema jamaa alikuwa analipwa dolaa 5000 kwa mwezi (5000X1450)=7,250,000 haya kodi kubwa walikuwa wanachukua mshahara wote au? halafu nimesikia leo asubuhi CLOUDZ fm hiyo timu ya jamaa imeingia Champions league na watapambana na Liverpool sasa jamaa kachemsha KINOOOOMA
Hebu rudia vizuri hapo....................nini!!!!!!!!!!!!!kuna tetesa kuwa bila baki hawezi kucheza boll! sijui kama hili lina ukweli
...Kwa mujibu wa maelezo ya wakala wake Damas Ndumbaro, Haruna alikatisha mkataba wake na hiyo timu aliyokuwa akichezea huko Sweden kwa sabau kubwa mbili 1. Haoni kama kuna maslahi kuendelea kuichezea hiyo timu kwa nikipato apatacho kwa mtazamo wake ni kidogo 2. Kiwangi cha soka sweden haoni kama ni cha ushindani ingawa kuna maelezo kuwa hiyo timu ime-qualify kucheza kombe la ulaya????!!!!Habari wana JF, kama kuna mwana JF anayefahamu sababu za msingi zilizosababisha HARUNA ''BOBAN'' kurejea nyumbani TZ aziweke hapa niweze kufahamu.
sunday manaranaomba anyone who knows,aniambie nimchezaji gani tanzania,amewahi cheza proffessional football nje na akawa a success-maana naona local press zetu uwa zina wa big up and in the end it always ends up in tears.hao waliocheza arabuni hatuwahesabu maana a player past his prime in europe ndio huenda cheza mpira arabuni
...Kwa mujibu wa maelezo ya wakala wake Damas Ndumbaro, Haruna alikatisha mkataba wake na hiyo timu aliyokuwa akichezea huko Sweden kwa sabau kubwa mbili 1. Haoni kama kuna maslahi kuendelea kuichezea hiyo timu kwa nikipato apatacho kwa mtazamo wake ni kidogo 2. Kiwangi cha soka sweden haoni kama ni cha ushindani ingawa kuna maelezo kuwa hiyo timu ime-qualify kucheza kombe la ulaya????!!!!
Lakini kwa maoni yangu nilichoona kwa upande wa Haruna ni upeo mdogo wa kujua mambo na pia kukosa dhamira ya kucheza soka la ushindani. Haruna yeye hataki kukatwa kodi kwenye mshahara wake (pay as you earn), alitafutiwa nyumba lakini akatakiwa alipie kodi mwenyewe.
Nimegundua wachezaji wetu wengi wa soka wana akili finyu sana (sitaki kuzungumzia elimu hapa) maana kama ni elimu akina George Weah walipiga soka ulaya na hawakuwa na elimu sana au akina Kanu, Toure. isipokuwa wanakosa dhamira ya kweli kutaka kucheza soka ulaya na pia kukosa malengo. Hivi kwa timu kuweza kupata tiketi ya kucheza ubingwa wa ulaya si ndio ilikuwa njia ya yeye kuonyesha umahili wake ili aonekane na hatimaye kupata timu kubwa zaidi na hatimaye kupata mkataba wenye maslahi zaidi??
Kwa hiyo Haruna ameona bora kurudi simba...Kweli akilini nywele!!! :frusty::frusty:
hiyo timu yake boban inaitwa gefle if,imeshika nafasi ya 10,haimo ktk michuano yoyote ya ulaya,labda friend mechi ndio wacheze na liverpoolLiverpool aichezi Champions League waache na wao uongo wao waeleze ukweli!!
Habari wana JF, kama kuna mwana JF anayefahamu sababu za msingi zilizosababisha HARUNA ''BOBAN'' kurejea nyumbani TZ aziweke hapa niweze kufahamu.
Mibangi tuu, jana huyo ndumbaro kasema jamaa alikuwa analipwa dolaa 5000 kwa mwezi (5000X1450)=7,250,000 haya kodi kubwa walikuwa wanachukua mshahara wote au? halafu nimesikia leo asubuhi CLOUDZ fm hiyo timu ya jamaa imeingia Champions league na watapambana na Liverpool sasa jamaa kachemsha KINOOOOMA