Nini kilimsibu Haruna Moshi?

Nini kilimsibu Haruna Moshi?

Wengi wetu sisi wabongo hadi wachezaji wetu wa bongo hatujui nini tunachokifanya,tumekalia sifa za kijinga tu.

Ukiona jina kubwa umejulika Ilala, Kinondoni, Temeke na mikoani basi unajiona wewe ndio wewe na kujiona ushafika ulaya basi ndio shida, mimi nampongea sana Nonda alijua nini anachokifanya hakubweteka na sifa za kijingajinga na kutaka kutangaza na kuuza sura magazetini Bongo. Wengine nao wakienda kucheza ulaya soka wanachanganya mambo soka na maisha, unaambiwa life is a big road with a lot of sign, so when you ride on the road do not complicate your mind. Kwahiyo ndio hivyo ukiwa unaendesha gari na dhumuni lako kwenda kulia nyosha kulia,sio unaona eti manjonjo ya upenda wa kushoto unataka kuelekea huko, shauri zako utapotea.

Kwa kifupi hatuna malengo wengi wetu wabongo hasa wachezaji wetu, wewe angalia Mariga mkenya yupo Inter Milan, Majid Musisi alicheza ligi kuu Uturuki miaka ya 90 hadi umauti ukimkuta kwao uganda, kina Mike Okoth, Henry Motego wamecheza Bruges ya Ubelgiji, sasa wengine wachezaji wetu wa Bongo yaani wakicheza tu hata Sauzi ambazo timu zao, ni bora hata TP Mazembe ya DRC wanatunisha vifua mtaani kujiona wameshamila.
 
kila nikipita kijiweni (wanapokaa masela) mara kwa mara nawasikia wakisema ni heri kuzaliwa mbwa ulaya kuliko binadamu bongo! yaani unaacha kula kuku ulaya, unarudi bongo?? sijapata kuona wala kusikia popote! Joseph Kaniki (Golota) alikuwa radhi aoe bibi kizee ili abaki ulaya, kuliko kurejea bongo, leo mwenzetu huyu................Loh!!!
 
HAROUNA MOSHI TAFADHALI MUSIONGEZE JINA LA BOBAN HUYU HAWEZI KULINGANA NA NAHODHA WA ZAMANI WA CROATIA ZMOVIR BOBAN KWA KILA KITU.

NI MNYAMWEZI ALIYEINGIA JIJI KWA PUPA NA NINAWEZA KUSEMA HIZO SENTI ANAZOPEWA NA ISLAM NAHD(OIL COM) NDIO ZIMEMTOA HUKO ALIKOKUWA NA SIO HABARI YA KUKATWA KODI WA MSHAHARA KAMA SUALA LA MSHAHARA BASI LEO MAcDOUNALD MARIGA ASINGECHEZEA MABINGWA WA ULAYA INTERNATIONALE MILAN ISIPOKUWA MARIGA KAANZIA HUKU HUKU ALIPOTOKA HUYU KIUMBE WA KWETU
 
naomba anyone who knows,aniambie nimchezaji gani tanzania,amewahi cheza proffessional football nje na akawa a success-maana naona local press zetu uwa zina wa big up and in the end it always ends up in tears.Hao waliocheza arabuni hatuwahesabu maana a player past his prime in europe ndio huenda cheza mpira arabuni
..Kassim Manara alicheza Australia miaka ya mwishoni mwa 80 mpaka mwanzoni 90. hakuwa ***** kama Boban ukizingatia alienda kule na umri ulikuwa umesogea sana lakini wazungu walimkubali vile vile.....
 
Chonde chonde waungwana tusimlaumu sana kijana wa watu kwa sababu jinsi alivyofanya ndo anavyo reflect matatizo ya wabongo ya kupenda easy life na kusahau kuwa "mtaka cha uvunguni shurti ainame.Wabongo hatuwezi kukomaa kama mataifa mengine weye si unaona madongo yanavyorushwa kwa wabeba mabox???wakati idadi ya wabongo walioko ughaibuni haifikii hata robo ya waganda,wakenya,wanaigeria na hata wanyarwanda,tunapenda kujirusha sana kuliko kufanya kaziii period!!!
 
Nadhani baadhi yenu mlisikiliza kipindi cha michezo cha Clouds FM jana mchana. Maestro aliwaalika Mwaisabula, Said Tulli, Ndumbaro kwa ajili ya kuwa na mjadala wa jambo hili.

Mambo mengi yaliongelewa, ikiwa ni pamoja na kumuunganisha Mr. Humphrey kutoka Sweden ambaye ni mmoja wa watu wanaomfahamu Haruna kwa karibu na kujua matatizo yaliyomkuta.

Jambo lililojitokeza kwa dhahiri ni ukweli kwamba Haruna ana matatizo makubwa kuliko inavyoelezwa. Wapo wabongo waliomdanganya kwamba avunje mkataba kule ili akirudi wampeleke Uarabuni kwa bei kubwa zaidi. ili kuvunja mkataba, Haruna aliamua kuanza kupigana na wachezaji wenzake na kuwaumiza mazoezini. Aligombana na Machupa wakati akimpa ushauri juu ya bahati aliyokuwa nayo.

Tatizo jingine lililoelezwa ni kuwepo Mtanzania 'aliyejilipua' kama Msomali. Kila juma alikuwa akimpelekea jani kwa bei mbaya mno.

Baada ya mjadala ule, hata Mwaisabula aliyekuwa mtetezi wake alinyosha mikono!

NADHANI TATIZO KUBWA LA HARUNA NI KUTOKUWA NA MALENGO. Tayari timu kubwa zaidi ya Kalmar ilikuwa inamfuatilia ili mwisho wa msimu imnunue kwa USD 500000.00 na mshahara wa USD 30,000.00 kwa mwezi. Bongo hawezi kusajiliwa tena kwa sasa, labda baada ya miezi sita kwani muda umekwisha.
 
mpira ulaya mgumu.....kuanzia mazoezi,diet na life style.
mazoezi:btn 6-10am imagine winter time,winter ya sweden up to -10s sasa ndugu yetu katoka tz-dar avrg temp 27c ataweza??na mazoezi mara hadi 3 kwa siku plus more hrs in the gym.
diet:no burger,no chips vumbi,no pizza yaani vyakula vyote tunavyoona vinono kwa pro.footballer ni mwiko,msosi wa kawaida wa pro-baller ni pasta kwa kwenda mbele....sasa ndugu yetu huyu kazoea chips,mayai kuku,pilau,wali na mboga tatu ukamwambie ashindie plain pasta ataweza?
life style:life style ya pro fooballer haina tofauti na ya mwanafunzi wa bweni,kuna curfew[ulale muda fulani na kwa muda fulani],no clubbing/drinking, ila kwa ruhusa maalum,bangi,cocaine can result to a long ban+fine......imagine mchezaji anapata £50,000/week halafu anaambiwa hana ruhusa ya kujirusha....

kwa kweli mpira ni mgumu sana na unahitaji mtu awe na determination ya hali ya juu kufanikiwa,bangi na ukichwa panzi lazima uchemshe.....

MMh! sasa huyu bwana mdogo bangi aliipataje???
 
SAJENTI,Kassim manara never played in australia,alicheza AUSTRIA a nationwhich in football terms ni non entity.Magazeti ya tz yalimsifu sana lakini in reality ilikuwa ni just smalltime football,hata nico njohole and one kassim matitu played pro football in austria.Kwa kifupi tz has NEVER had an outstanding reknown sportsman bar one,FILBERT BAYI. Uganda has had john akibua,mugabi the beast(boxer)huyu alipambana na malvin hagler hii fight to this day inazungumzwa huko kenya naona sports legends ni wengi sana,you just cannot list them
 
wapendwa
majuzi nilimsikia kibonde wa clouds fm,kwa kweli kama mtanzania mstaarabu asingeweza kuongea mambo ya aibu kama yale..cha kushangaza alikuwa akimwongeelea
mchezaji Boban zaidi ya nusu saa na kusema mh alirudishwa kutokana na
kumiss majaaniii kama mjuavyo aka...bangi...sijui kama ni kweli jamaa
alifikia kusema jamaa ana akili za majaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaniiiiiii

baadae ama mwisho akasema boban kwa kweli ana matatizo akashauri
ndumbaro asichukue wachezaji wanaovuta majaniiiiiiiiiiiiiiii watamtia hasara
kazi ipo......

swali linabaki je majani yameumbwa na mungu na kama yameumbwa na mungu
JE MUNGU AMEUMBA VIBAYA DUNIAN...NA KAMA SIO je ni atizo letu kutumia
majani???
kazi kwetu
 
majani??
?
kazi kwetu

mkuu, wewe unavuta majani? mbona hauongei kumkosoa kibonde ila unaongea kutetea majani?....majani hayana maana....wachezaji wetu wengi wanatumia majani, kama wasipovuta utendaji wao unapungua...ukienda ulaya wanabana majani NO,...wanataka ule chakula bora, ndo uingie ulingoni.....kwa upande wangu siwezi kumshambulia boban kwasababu sina uhakika kama ametumia majani kweli au la....ila nafikiri yeye boban kama atakuwa hatumiii majani, atamfuata kibonde amuulize au atampeleka mahakamani etc....kibonde hawezi kuongea kitu kikubwa kama hicho kwenye public ya watz bila kuwa na pa kushikilia...vinginevyo angeogopa kufungwa...
 
soka letu la bongo lina mambo..kama sio kustua "majani" basi lazima "mkatemewe mate na sangoma"
sisi hatujui kama boban anakula hiyo dawa, labda huyo anayesema atuthibitishie kama ana uhakika.
kinachonishangaza mimi ni huyo mchezaji kutupilia mbali hiyo chance ya kuendeleza kipaji chake, hata mi sielewi wajameni.
 
.....niliacha kusikiliza Clouds FM muda mrefum uliopita baada ya kugundua ni Radio inayowa-target teenages na hasa kipindi cha Ephraim Kibonde pale jioni maana huwa anakosa staa kabisa. Huyo shoga mwingine Kapiteeeeeni anapokuwa anamchekea basi yeye Kibonde ndio anaona misifa na kuzidi kumwaga pumba zake. Yes, freedom of speech iwe na mipaka yake! in fact yeye ndie aliyenifanya hata ku-delete frequency za hii station kwenye radio yangu maana ni majungu, umbea, na fitina tupu. sioni kitu constructive.
 
Spot on,

Mi vile vile nilishawashtukia jokers hawa looong time, wajomba wajomba na watindiga-fresh wanawamiiiind.

Dawa ya irresponsibility kama hii unawapiga lawsuit ya defamation charges, unawaambia watoe proof wakishindwa unawafilisi mpaka inabidi wafunge redio.
 
soka letu la bongo lina mambo..kama sio kustua "majani" basi lazima "mkatemewe mate na sangoma"
sisi hatujui kama boban anakula hiyo dawa, labda huyo anayesema atuthibitishie kama ana uhakika.
kinachonishangaza mimi ni huyo mchezaji kutupilia mbali hiyo chance ya kuendeleza kipaji chake, hata mi sielewi wajameni.

Hakuna mchezaji wa bongo anayetupilia mbali chances kama hizi, huyu kafulia tu viwanjani huko anakuja huku na habari za "sizitaki mbichi hizi"

Na waandishi wetu wasivyojua kufuatilia habari wanameza kila kitu, bila hata kuchunguza kwa email.
 
Learn to go the etra mile and you will succeed! Huyu mjomba anataka maslahi kwanza, wengine wanafanya kazi kwanza, hata kama huyo mwajiri alikuwa anamnyonga angejituma akapiga mzigo ipasavyo angeanza kugombaniwa na maslahi yangekuja automatically.

Kilichobaki kwake ni kujifunza kutokana na kuchezea fursa hii ili asonge mbele
 
Hakuna mchezaji wa bongo anayetupilia mbali chances kama hizi, huyu kafulia tu viwanjani huko anakuja huku na habari za "sizitaki mbichi hizi"

Na waandishi wetu wasivyojua kufuatilia habari wanameza kila kitu, bila hata kuchunguza kwa email.
Nadhani unachosema ndio ukweli. Waandishi wafuatilie tu watapata ukweli.
 
Hapa kama ni kweli Clouds FM walitangaza kitu kama hicho, Basi Boban atafute mawakili wajanja tu atawatoa upepo saafi Clouds na kufidia simanzi yake ya Sweden! Huwezi kumsema mtu kwenye redio namna hiyo.
 
Back
Top Bottom