Wengi wetu sisi wabongo hadi wachezaji wetu wa bongo hatujui nini tunachokifanya,tumekalia sifa za kijinga tu.
Ukiona jina kubwa umejulika Ilala, Kinondoni, Temeke na mikoani basi unajiona wewe ndio wewe na kujiona ushafika ulaya basi ndio shida, mimi nampongea sana Nonda alijua nini anachokifanya hakubweteka na sifa za kijingajinga na kutaka kutangaza na kuuza sura magazetini Bongo. Wengine nao wakienda kucheza ulaya soka wanachanganya mambo soka na maisha, unaambiwa life is a big road with a lot of sign, so when you ride on the road do not complicate your mind. Kwahiyo ndio hivyo ukiwa unaendesha gari na dhumuni lako kwenda kulia nyosha kulia,sio unaona eti manjonjo ya upenda wa kushoto unataka kuelekea huko, shauri zako utapotea.
Kwa kifupi hatuna malengo wengi wetu wabongo hasa wachezaji wetu, wewe angalia Mariga mkenya yupo Inter Milan, Majid Musisi alicheza ligi kuu Uturuki miaka ya 90 hadi umauti ukimkuta kwao uganda, kina Mike Okoth, Henry Motego wamecheza Bruges ya Ubelgiji, sasa wengine wachezaji wetu wa Bongo yaani wakicheza tu hata Sauzi ambazo timu zao, ni bora hata TP Mazembe ya DRC wanatunisha vifua mtaani kujiona wameshamila.