.............ila wengi tulimuona hamnazo kwa maamuzi yakeNamkumbuka Marcio Maximo
Bange tu
But noe Nizar mni msimu wake wa 2 na next season anakipiga US Major Soccer League na Kina Henry na Beckham kakaNiliwahi kusema sidhani kama tutatoa mchezaji kwenye ligi kubwa barani ulaya ,wachezaji wetu wakienda nje hawawezi kucheza misimu 3 mfululizo nje,wanarudi bongo kuja kuchezea Simba/Yanga/Moro nk mfano Matola,Mrwanda,Kaniki,Ivo
nadhani huu ni ulimbukeni wa watanzania kukurupukia vitu bila kuvijua vizuri
tusimlaumu sana
Mkuu hatimaye ndoto yako imetimia Haruna Moshi Shaaban Boban mawela ndani ya kikosi cha ndala FCTunamsubiri Jangwani