Nini kilimsibu Idugunde na kuacha kuishabikia CCM kama enzi zile?

Hata hizi CHAWA zilizotapakaa humu jukwaani, ni kwa sababu zinaambulia chochote ili maisha yaendelee (kiufupi ziko kazini/zinanufaika na utawala uliopo). Siku mirija ikikatwa au zikitolewa kwenye mfumo wa ulaji, utashangaa na zenyewe zinaanza kwenda against system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…