Sponsor alikata kamba.Huyu jamaa alikuwa shabiki mkubwa wa CCM na alikuwa akiwatetea sana hapa jukwaaani
Nini kilimsibu huyu jamaa maana mpaka sasa amegeuka kuwa shabiki kindakindaki wa Chadema na Lissu.
Duuh mkuu
Kama huioni tofauti ya chama chako wakati wa samia na wakati wa jiwe, akili yako itakuwa na walakini.Duuh mkuu
Ni kweli kabisa naendelea kuyapelekea moto hayo machadema mpaka akili ziwakae sawa.
Usiwaamini wageni wapitanjia.Huyu jamaa alikuwa shabiki mkubwa wa CCM na alikuwa akiwatetea sana hapa jukwaaani
Nini kilimsibu huyu jamaa maana mpaka sasa amegeuka kuwa shabiki kindakindaki wa Chadema na Lissu.