Nini kilimsibu Ronaldo De Lima masaa machache kabla ya fainali ya mwaka 1998?

Mahaba yenu yaliwafanya mshindwe kuelewa kuwa UFARANSA ya mwaka huo ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Brazil alizidiwa mbinu ile game kila sehemu, na akapigwa kisawa sawa.

Mkabaki kusema "Ronaldo karogwa, mara kalishwa sumu!"
 
Dah Ufaransa walikuwa na watu aisee
 
Kwa mujibu wa Roberto CalosRonaldo de lima muda mfupi kabla ya mchezo aliugua ghafla ugonjwa wa kifafa. Kitu ambacho ata yeye kilimshangaza kwakua walikua wana kaa chumba kimoja.
Kabla ya tukio ilo Ronaldo hakuwai kuugua ugonjwa kama uo. Jopo la madaktari na benchi la ufundi lillia amua jamaa lazima achezee mechi ile. Ila kilichokuja kutokea imebaki stori.
Ujanja kama ule ulitoke tena mwaka uu kwa Ronaldo wa Ureno ila Mambo yalikataa. Walifanikiwa kumtoa Cr7 nje ila matokeo hayakuwa upande wao.
 
Nimecheka mwenyewe hapa Brazil washukuru kufungwa 3 wangepigwa 7 uwezo mkubwa wa France ndio maana na euro wakachukua
 
Hata yanga yetu na mbeya city wamerogwa bhaanaaaa,yanga yetu haiwezi kufungwa na wamikoani[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Brazil nao walikua vizuri ila kuna siku mechi inakataa, nusu fainali ta Brazil na Holand ndio mechi iliyokuwa na mafundi kuliko mechi zote kwenye mashindano yale. Na nilitumaini bingwa angetokea kwenye mechi ile.
 
Kusema kweli mechi ile Ufaransa waliimaliza mapema kuamata idara ya kiungo chini ya Ek Capitano Didier Deschamps, Manu Petit, Youri Djokaeff na The Wonder boy Zinedine Zidane Zizzou.

Hivyo Ronaldo De Lima " El Phenomenon " akabaki na kesi udhururaji ndani ya uwanja.
 
Brazil nao walikua vizuri ila kuna siku mechi inakataa, nusu fainali ta Brazil na Holand ndio mechi iliyokuwa na mafundi kuliko mechi zote kwenye mashindano yale. Na nilitumaini bingwa angetokea kwenye mechi ile.
brazil alienda fainal kwa zali,wale waholanzi waacheni,ufaransa ilikua swafi na kimchezo brazil alizidiwa
 
Hata yanga yetu na mbeya city wamerogwa bhaanaaaa,yanga yetu haiwezi kufungwa na wamikoani[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Umerogwaaa wewe jana mbeya city kashinda mapemaaaa kabisaaaaa ulikuwa wapi kushinda mapema
 
Hata yanga yetu na mbeya city wamerogwa bhaanaaaa,yanga yetu haiwezi kufungwa na wamikoani[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mkuu una akili sana hata mi niliona wamerogwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa mujibu wa Roberto CalosRonaldo de lima muda mfupi kabla ya mchezo aliugua ghafla ugonjwa wa kifafa. Kitu ambacho ata yeye kilimshangaza kwakua walikua wana kaa chumba kimoja.
Kabla ya tukio ilo Ronaldo hakuwai kuugua ugonjwa kama uo. Jopo la madaktari na benchi la ufundi lillia amua jamaa lazima achezee mechi ile. Ila kilichokuja kutokea imebaki stori.
Ujanja kama ule ulitoke tena mwaka uu kwa Ronaldo wa Ureno ila Mambo yalikataa. Walifanikiwa kumtoa Cr7 nje ila matokeo hayakuwa upande wao.
Ufaransa ile ilikuwa timu ya dunia,ingeweza kumfunga yeyote.Hebu fikiria Viera,Thiery Henry,Trezeguet nk walikuwa wanawekwa bench.Brazil haikuwa na defence hasa kati pemben Carlos na Cafu walukuwa poa,kiungo Bebeto alikuwa anaachwa na umri wakati Tafarel golin alishachoka.Ufaransa hiyo ilitamba sana hadi 2002.
 
Back
Top Bottom