Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka mwenyewe hapa Brazil washukuru kufungwa 3 wangepigwa 7 uwezo mkubwa wa France ndio maana na euro wakachukuaKwa mujibu wa Roberto CalosRonaldo de lima muda mfupi kabla ya mchezo aliugua ghafla ugonjwa wa kifafa. Kitu ambacho ata yeye kilimshangaza kwakua walikua wana kaa chumba kimoja.
Kabla ya tukio ilo Ronaldo hakuwai kuugua ugonjwa kama uo. Jopo la madaktari na benchi la ufundi lillia amua jamaa lazima achezee mechi ile. Ila kilichokuja kutokea imebaki stori.
Ujanja kama ule ulitoke tena mwaka uu kwa Ronaldo wa Ureno ila Mambo yalikataa. Walifanikiwa kumtoa Cr7 nje ila matokeo hayakuwa upande wao.
Waswahili wana maneno sana, na visingizio vingi ndio maana hatuendelei.Nimecheka mwenyewe hapa Brazil washukuru kufungwa 3 wangepigwa 7 uwezo mkubwa wa France ndio maana na euro wakachukua
kwan Brazil ilikua mbovu?Waswahili wana maneno sana, na visingizio vingi ndio maana hatuendelei.
Ile game Brazil alishikwa kila idara ... Ile France ilikuwa unatoa chuma kinaingia chuma.
Sijasema ilikuwa mbovu, bali walizidiwa na Ufaransa iliyosheheni wakongwe na vijana.kwan Brazil ilikua mbovu?
mbona una ruka ruka kma churaHata yanga yetu na mbeya city wamerogwa bhaanaaaa,yanga yetu haiwezi kufungwa na wamikoani[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
brazil alienda fainal kwa zali,wale waholanzi waacheni,ufaransa ilikua swafi na kimchezo brazil alizidiwaBrazil nao walikua vizuri ila kuna siku mechi inakataa, nusu fainali ta Brazil na Holand ndio mechi iliyokuwa na mafundi kuliko mechi zote kwenye mashindano yale. Na nilitumaini bingwa angetokea kwenye mechi ile.
Umerogwaaa wewe jana mbeya city kashinda mapemaaaa kabisaaaaa ulikuwa wapi kushinda mapemaHata yanga yetu na mbeya city wamerogwa bhaanaaaa,yanga yetu haiwezi kufungwa na wamikoani[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mkuu una akili sana hata mi niliona wamerogwaHata yanga yetu na mbeya city wamerogwa bhaanaaaa,yanga yetu haiwezi kufungwa na wamikoani[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ufaransa ile ilikuwa timu ya dunia,ingeweza kumfunga yeyote.Hebu fikiria Viera,Thiery Henry,Trezeguet nk walikuwa wanawekwa bench.Brazil haikuwa na defence hasa kati pemben Carlos na Cafu walukuwa poa,kiungo Bebeto alikuwa anaachwa na umri wakati Tafarel golin alishachoka.Ufaransa hiyo ilitamba sana hadi 2002.Kwa mujibu wa Roberto CalosRonaldo de lima muda mfupi kabla ya mchezo aliugua ghafla ugonjwa wa kifafa. Kitu ambacho ata yeye kilimshangaza kwakua walikua wana kaa chumba kimoja.
Kabla ya tukio ilo Ronaldo hakuwai kuugua ugonjwa kama uo. Jopo la madaktari na benchi la ufundi lillia amua jamaa lazima achezee mechi ile. Ila kilichokuja kutokea imebaki stori.
Ujanja kama ule ulitoke tena mwaka uu kwa Ronaldo wa Ureno ila Mambo yalikataa. Walifanikiwa kumtoa Cr7 nje ila matokeo hayakuwa upande wao.