Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja niendelee kidogo. baada ya vipaza sauti kuzingua na kushinndwa kufanya interview. wakawa very disappointed. wakakubaliana{ile crew nzima akiwemo fina, masoud na gerald} kwamba kesho yake wasiende kazini kuonesha kusikitishwa kwao na ubovu wa vifaa hivo. lakini mmoja wao akawasaliti na kwenda kazini pekee yake{ ingawa yeye masoud hajawahi mtaja nadhan wengi tunamfahamu kwani yeye pekee ndo alibaki katika hilo sakata} so baada ya hapo ndo wakatemwa hao wawili na akabaki huyo mmoja ambaye katika kipindi cha kina masoud alikuwa akija katika segment kuperuz na kudadisi. lakini sasa hivi ye ndo mwenye kipindi.Kuna siku alihojiwa kwenye kipindi akasema
tatizo ni ,siku moja walikwenda kumhoji
Balozi wa US aliyeko hapa Tanzania.
Tatizo likawa vipaza sauti vilikuwa vbovu
walipoomba Uongozi ununue vingine
ili waende kufanya mahojiano na Balozi
Uongozi wa redio ukakataa hivyo basi
alisema waliundiwa zenge Masoud na Fina
wakafukuzwa kazi.
Nadhani watakuja wengine wenye mengi
zaidi yangu .
Walikua watatu pamoja na Gerald Hando.Kuna siku alihojiwa kwenye kipindi akasema
tatizo ni ,siku moja walikwenda kumhoji
Balozi wa US aliyeko hapa Tanzania.
Tatizo likawa vipaza sauti vilikuwa vbovu
walipoomba Uongozi ununue vingine
ili waende kufanya mahojiano na Balozi
Uongozi wa redio ukakataa hivyo basi
alisema waliundiwa zenge Masoud na Fina
wakafukuzwa kazi.
Nadhani watakuja wengine wenye mengi
zaidi yangu .
Clauds media bado kuna uchafu mwingi sana uko 'chini ya kapeti' unaendelea.
Kwa mfano:
1/Mahusiano ya ajabu ajabu ya kimapenzi kazini.
2/Ukosefu wa miiko ya uendeshaji wa vipindi(wanafanya studio zao kama kijiwe cha maMC).
3/Mikataba ya ajira isiyoelewekwa.
4/Kutumika kisiasa kwa malengo ya watu fulani.
5/Visa binafsi na watu au taasisi(Kuna sera isiyo rasmi inaoperate katika hili Clauds Fm)
6/Uhusiano mbovu na media zingine
7/Mchezo mchafu wa kibiashara(Business Gang Lobbiest)
8/Ukwepaji mkubwa wa kodi
*Ni vizuri Clauds media wakajirekebisha sasa wasisubili mpaka wasahaulike kabisa.