Nini kilimtoa kipanya clouds fm?

Nini kilimtoa kipanya clouds fm?

Status
Not open for further replies.

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
3,299
Reaction score
475
Nimekuwa nikijiuliza sababu iliyomtoa msanii na mwanahabari mwenye kipaji cha aina yake pale radio ya watu bila kupata majibu yake. Je kuna mdau anayejua au yeye mwenyewe anawezakua humu ndani atujuze
 
Kuna siku alihojiwa kwenye kipindi akasema
tatizo ni ,siku moja walikwenda kumhoji
Balozi wa US aliyeko hapa Tanzania.

Tatizo likawa vipaza sauti vilikuwa vbovu
walipoomba Uongozi ununue vingine
ili waende kufanya mahojiano na Balozi

Uongozi wa redio ukakataa hivyo basi
alisema waliundiwa zenge Masoud na Fina
wakafukuzwa kazi.

Nadhani watakuja wengine wenye mengi
zaidi yangu .
 
Okee umenifumbua fikra sasa naanza kupata picha kuwa pale kuna tatizo
 
Kuna siku alihojiwa kwenye kipindi akasema
tatizo ni ,siku moja walikwenda kumhoji
Balozi wa US aliyeko hapa Tanzania.

Tatizo likawa vipaza sauti vilikuwa vbovu
walipoomba Uongozi ununue vingine
ili waende kufanya mahojiano na Balozi

Uongozi wa redio ukakataa hivyo basi
alisema waliundiwa zenge Masoud na Fina
wakafukuzwa kazi.

Nadhani watakuja wengine wenye mengi
zaidi yangu .
ngoja niendelee kidogo. baada ya vipaza sauti kuzingua na kushinndwa kufanya interview. wakawa very disappointed. wakakubaliana{ile crew nzima akiwemo fina, masoud na gerald} kwamba kesho yake wasiende kazini kuonesha kusikitishwa kwao na ubovu wa vifaa hivo. lakini mmoja wao akawasaliti na kwenda kazini pekee yake{ ingawa yeye masoud hajawahi mtaja nadhan wengi tunamfahamu kwani yeye pekee ndo alibaki katika hilo sakata} so baada ya hapo ndo wakatemwa hao wawili na akabaki huyo mmoja ambaye katika kipindi cha kina masoud alikuwa akija katika segment kuperuz na kudadisi. lakini sasa hivi ye ndo mwenye kipindi.
 
huyu jamaa namkubali sana ni mfano wa kuigwa ni mjasiliamali wa ukweli hana maneno mingi wala zongozongo.
 
Hawa ndiyo walinifanya nisikilize ile redio na amina chifupa. Jamaa aliwasaliti wenzie ili ale shavu, hakuna kitu nachukia kama usaliti mwenzenu duh!
 
Clauds media bado kuna uchafu mwingi sana uko 'chini ya kapeti' unaendelea.
Kwa mfano:
1/Mahusiano ya ajabu ajabu ya kimapenzi kazini.

2/Ukosefu wa miiko ya uendeshaji wa vipindi(wanafanya studio zao kama kijiwe cha maMC).

3/Mikataba ya ajira isiyoelewekwa.

4/Kutumika kisiasa kwa malengo ya watu fulani.

5/Visa binafsi na watu au taasisi(Kuna sera isiyo rasmi inaoperate katika hili Clauds Fm)

6/Uhusiano mbovu na media zingine

7/Mchezo mchafu wa kibiashara(Business Gang Lobbiest)

8/Ukwepaji mkubwa wa kodi

*Ni vizuri Clauds media wakajirekebisha sasa wasisubili mpaka wasahaulike kabisa.
 
Shida ya waafrika hatupendu kufuata ushauri, laiti wangekuwa wanafuata ushauri humu wangejitahidi kubadilika
 
Kuna siku alihojiwa kwenye kipindi akasema
tatizo ni ,siku moja walikwenda kumhoji
Balozi wa US aliyeko hapa Tanzania.

Tatizo likawa vipaza sauti vilikuwa vbovu
walipoomba Uongozi ununue vingine
ili waende kufanya mahojiano na Balozi

Uongozi wa redio ukakataa hivyo basi
alisema waliundiwa zenge Masoud na Fina
wakafukuzwa kazi.

Nadhani watakuja wengine wenye mengi
zaidi yangu .
Walikua watatu pamoja na Gerald Hando.
But mwisho wa siku traitor Hando akawasaliti wenzie na kurudi kuomba msamaha maana alijua kwa jinsi alivyo mtupu kichwani asingeweza kupata kazi kwengine.
 
Clauds media bado kuna uchafu mwingi sana uko 'chini ya kapeti' unaendelea.
Kwa mfano:
1/Mahusiano ya ajabu ajabu ya kimapenzi kazini.

2/Ukosefu wa miiko ya uendeshaji wa vipindi(wanafanya studio zao kama kijiwe cha maMC).

3/Mikataba ya ajira isiyoelewekwa.

4/Kutumika kisiasa kwa malengo ya watu fulani.

5/Visa binafsi na watu au taasisi(Kuna sera isiyo rasmi inaoperate katika hili Clauds Fm)

6/Uhusiano mbovu na media zingine

7/Mchezo mchafu wa kibiashara(Business Gang Lobbiest)

8/Ukwepaji mkubwa wa kodi

*Ni vizuri Clauds media wakajirekebisha sasa wasisubili mpaka wasahaulike kabisa.

9/Ushoga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom