Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Hatari wapi mbea mwenzangu!!! huyo docta inasemakana alikuwa anapenda sana kisamvu kuliko nyama.
Mburaaaaaaaa mbona hatare hii,
Kumbe mambo haya sio mageni jijini, mm ndiyo mgeni..... Mulio kwenye ndoa kazi ni nzito UTI na fangasi kwa hali hii hazitoisha

unajua sis, Kuna wakati naona vitu km hv mfn mtu km huyu ni daktare lkn anapafom usamvuni 🤔 asa ataweza muokoa muathirika wa ttzo hilo
 
cocastic, BICHWA KOMWE - ebu tuone comment zetu hapa warembo wazuri,
💕 💕
 
1. Mheshimiwa Prof Kairuki ndie mwasisi wa Hospitali Maarufu nchin na duniani kwa TIBA na MAFUNZO kwa fani za utabibu. Nilitaka kufahamu je nini sababu ya kifo chake?.

2. Je ni ajali ya ghafla? Kama ni ugonjwa ilikuaje bingwa katika fani ya utabibu kiwango chake hakupata matibabu yenye ubora kwa haraka?

**Hakika ameacha taasisi imara ya kupigiwa mfano.

Pumzika kwa amani Profesa
Huyu Profesa alikuwa na maono makubwa sana.
 
Back
Top Bottom