Nini kilipelekea kupanda ghafla kwa bei ya korosho mwaka jana. Je, Serikali ilihusika kwa namna yoyote kupanda kwa bei?

Nini kilipelekea kupanda ghafla kwa bei ya korosho mwaka jana. Je, Serikali ilihusika kwa namna yoyote kupanda kwa bei?

yameshatoea sasa ungefanya nini kama wewe ndo uko kwenye position?? au ndo ungetulia na kusema miaka ya nyuma haijawahi kutokea. Acheni ushabiki katika mambo yanayohusu TAIFA bwana
Atafanya siku akiwa kwenye position kama rais,mbona unaforce future iwe present umevimbiwa mbaazi na dengu!???
 
Here we go again
20181111_115607.jpeg
 
Moja kuunda tume ndogo tuu ya wataalamu kuchunguza ndani na nje kwa nini wanunuzi wametoa bei ndogo this year, je ni kweli due to low world market? Pili kama soko limeporomoka huko duniani then wanunuzi wa nchini waachwe wanunue kwa bei yao halafu serikali I subsidize the difference between bei ya wakulima na ya wanunuzi. Tukumbuke serikali imechukua 250 bilioni from Cashewnut levy, so watumie hiyo pesa. Tatu from the same levy money serikali iagize pembejeo muhimu zote za korosho na kuzigawa free kwa wakulima. Mwisho serikali ifanye maandalizi ya haraka na kuweka incentives kwa wawekezaji wanaotaka kujenga viwanda vya kubangua korosho.

Umeandika vyema sana ndugu yangu,umetoa mawazo ambayo yanajenga - Thanks
 
Suala la korosho sio ishu ya muda mfupi, hata tume kwa sasa sio jambo litakalompa pesa mkulima kwa wakati.
Kwa hali ya msimu huu 'kimeo' jambo ambalo lingefanyika ni kuangalia kwa pamoja na kuwasikiliza wanunuzi hoja zao, inawezekana ni za msingi na kama kuna shida basi hiyo bei ya 2750 wanunue korosho zote na sio nusu.TUKUMBUKE MKULIMA AMEKOPA NGUVUKAZI NA PEMBEJEO NA ANADAIWA NA MUDA NDIO HUU. Tuache masihara katika kilimo biashara, hiyo mizunguko ya kutafuta soko LEO tunaweza zalisha tatizo lingine.
 
Kilichosababisha korosho kushuka bei kinajulikana, kilichosababisha wanunuzi kutonunua korosho kinajulikana, worse enough kuna swala la export levy 250B which the Gvmt siphoned that's fine. Kama wasomi siyo kazi ni kulalamika kuhusiana na sabaabu zilizotufikisha hapa. Kuna mwengine anasema eti solution siyo kuagiza jeshi kuendesha hii operation ila ni kujenga viwanda vya ku process korosho!!! Haloooo are you serious that we need at this juncture to set up processing plants while we have cashews at home??? Tuache kumlaumu JPM sema wewe what would you do now to rescue this situation.
Bei ya korosho inamualiwa na nini?
 
Ndio maana tawala za kidemokrasia Kwa nchi maskini hazifai, bora kutumia nguvu na imla ilimradi kwa manufaa ya Taifa, hata ukigawa Lita tano za maziwa na maji bure yapo majitu yatapinga tu, nakumbuka sana mijadala bungeni wakati wa Kikwete licha ya kuwaalika Ikulu na kuwapa chai ili maslahi ya nchi yajadiliwe aliishia kutukanwa na kukebehiwa. Kwa ufupi hakuna jema duniani, Fanya unaloona lina manufaa kwa nchi yako Basi. Mwalimu akiwa Rais alisemwa haambiliki mpaka akanusurika kupinduliwa mara kadhaa, licha ya kujitolea kwa nchi yake mpaka kutojali maendeleo ya watoto wake wa kuzaa, alipostaafu wakageuka, na kumsifu sana hasa baada ya kufa
yameshatoea sasa ungefanya nini kama wewe ndo uko kwenye position?? au ndo ungetulia na kusema miaka ya nyuma haijawahi kutokea. Acheni ushabiki katika mambo yanayohusu TAIFA bwana
 
Una kaliba moja na huyo aliyekutuma.

Mwambie kuwa hatateka wote wala kuua wote.
 
Wakulima warudishiwe pesa zao za EXPORT LEVY halafu uandaliwe mpango wa FAO LA BEI. Lastly, bei ya korosho iachwe iamuliwe na SOKO !
Sasa export levy ni za wakulima??
 
Moja kuunda tume ndogo tuu ya wataalamu kuchunguza ndani na nje kwa nini wanunuzi wametoa bei ndogo this year, je ni kweli due to low world market? Pili kama soko limeporomoka huko duniani then wanunuzi wa nchini waachwe wanunue kwa bei yao halafu serikali I subsidize the difference between bei ya wakulima na ya wanunuzi. Tukumbuke serikali imechukua 250 bilioni from Cashewnut levy, so watumie hiyo pesa. Tatu from the same levy money serikali iagize pembejeo muhimu zote za korosho na kuzigawa free kwa wakulima. Mwisho serikali ifanye maandalizi ya haraka na kuweka incentives kwa wawekezaji wanaotaka kujenga viwanda vya kubangua korosho.
Wakienda one step ahead mengi yatakuwa wazi.
 
Back
Top Bottom