Nakuunga mkonyo nooo!!mkonoalichofanikiwa jiwe katika uongozi wake kwa 100% ni kuteka, kutesa, kujeruhi na kuua critics baasi.
Atafanya siku akiwa kwenye position kama rais,mbona unaforce future iwe present umevimbiwa mbaazi na dengu!???yameshatoea sasa ungefanya nini kama wewe ndo uko kwenye position?? au ndo ungetulia na kusema miaka ya nyuma haijawahi kutokea. Acheni ushabiki katika mambo yanayohusu TAIFA bwana
Atafanya siku akiwa kwenye position kama rais,mbona unaforce future iwe present umevimbiwa mbaazi na dengu!???
Moja kuunda tume ndogo tuu ya wataalamu kuchunguza ndani na nje kwa nini wanunuzi wametoa bei ndogo this year, je ni kweli due to low world market? Pili kama soko limeporomoka huko duniani then wanunuzi wa nchini waachwe wanunue kwa bei yao halafu serikali I subsidize the difference between bei ya wakulima na ya wanunuzi. Tukumbuke serikali imechukua 250 bilioni from Cashewnut levy, so watumie hiyo pesa. Tatu from the same levy money serikali iagize pembejeo muhimu zote za korosho na kuzigawa free kwa wakulima. Mwisho serikali ifanye maandalizi ya haraka na kuweka incentives kwa wawekezaji wanaotaka kujenga viwanda vya kubangua korosho.
Bei ya korosho inamualiwa na nini?Kilichosababisha korosho kushuka bei kinajulikana, kilichosababisha wanunuzi kutonunua korosho kinajulikana, worse enough kuna swala la export levy 250B which the Gvmt siphoned that's fine. Kama wasomi siyo kazi ni kulalamika kuhusiana na sabaabu zilizotufikisha hapa. Kuna mwengine anasema eti solution siyo kuagiza jeshi kuendesha hii operation ila ni kujenga viwanda vya ku process korosho!!! Haloooo are you serious that we need at this juncture to set up processing plants while we have cashews at home??? Tuache kumlaumu JPM sema wewe what would you do now to rescue this situation.
yameshatoea sasa ungefanya nini kama wewe ndo uko kwenye position?? au ndo ungetulia na kusema miaka ya nyuma haijawahi kutokea. Acheni ushabiki katika mambo yanayohusu TAIFA bwana
Wakienda one step ahead mengi yatakuwa wazi.Moja kuunda tume ndogo tuu ya wataalamu kuchunguza ndani na nje kwa nini wanunuzi wametoa bei ndogo this year, je ni kweli due to low world market? Pili kama soko limeporomoka huko duniani then wanunuzi wa nchini waachwe wanunue kwa bei yao halafu serikali I subsidize the difference between bei ya wakulima na ya wanunuzi. Tukumbuke serikali imechukua 250 bilioni from Cashewnut levy, so watumie hiyo pesa. Tatu from the same levy money serikali iagize pembejeo muhimu zote za korosho na kuzigawa free kwa wakulima. Mwisho serikali ifanye maandalizi ya haraka na kuweka incentives kwa wawekezaji wanaotaka kujenga viwanda vya kubangua korosho.
Mbona una jazba?Mi naongelea swala la korosho what would you do??? acha kukwepa mada kama hujui ungefanyaje kaa kimya