Nini kilisababisha CHADEMA ikakosa mvuto?

Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?

Mkuu ni kweli umesahau kipindi walichopitia Chadema chini ya "MKONO WA CHUMA"? Watu wamepigwa risasi ,wametupwa kwenye viroba ,wamefungwa ,wamekatazwa kufanya siasa ,biashara ya utumwa(watu walikuwa wananunuliwa) ,wamefilisiwa etc
 
Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?

Miye ni CCM damu,nishasimamia chaguzi nyingi, CHADEMA wanakosa nguvu ya umma tu yakupigania na kulinda ushindi wao

Wangekuwa hawakubaliki basi 2020,JPM asingekuwa na haja ya kuwapiga jeki wabunge na madiwni wake wa kamserereko
 
Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?

Nafikiri ni mtizamo wako Tu na wapi unalenga. Hiyo inategemea ni mkutano gani. Hivyo tusijifariji kwamba hawana watu. Noooo! Ukiitosha Free na fair election tutaelewa. Mfano. Kwa sasa wanafanya almost mikutano 5 kwa siku. Ule wamwisho ndiobhuwa mkubwa ambao hufanyika jioni. Hii yakatibinafanyika kwenye kata/vijiji visivyo na hamasa au watu no wachache. Hata hivyo huwa wamefanikiwa. Angalia mkutano WA jioni ambao hufanyika kwenye mji mkubwa/Makao Makuu ya Wilaya au Mkoa, angalia nyomi yake ndipo utajua.
Hayo yote mliyosema kama walipokosea lkn bado kimezidi kukua Sana ukiacha maeneo machache yenye ACT/CUF misimamo.
Hapo hawajatumia zile mbinu zetu za kubeba watu na malori na vitisho kata nzima au Wilaya yote ili mkutano ujao pamoja na kina Harmonize na wasani wengine.

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Ulifanya kosa na nani??huo ndo unafiki.ungeleta wewe wabunge 70+ bila lowasa??
Mtoa mada, sababu nyingine ni hii hapa. Soma jibu la huyu nyumbu utanielewa ninachokisema........kama mtu mzima lakini!

Kukurupuka, kukurupuka, kukurupuka!
Ujuaji, ujuaji na ujuaji tena.
 
Ni nadharia mfu hizo.aliyetuwekea misingi ya upendo na kuruhusu siasa safi ni kikwete.yule mwizi wa kura na kununua/kupiga risasi wapinzani ndo aliharibu.wasiojulikana,kesi Kwa wapinzani etc etc etc.unategemea tena upinzani uwe na nguvu??
Ambaye sasa hivi Tundu Lissu anamsema kuwa ataenda kaburini kwake amuambie Samia kaharibu nchi, hapo ndipo nilipoona hawa wapinzani hawana sincerity yoyote, na ndio maana wananchi wanawadharau

Haina mbunge hata mmoja bungeni, diwani wala mwenyekiti wa serikali ya mtaa.

wagombea wake wengi waliondolewa kihuni waziwazi uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2020 na hakuna walichoweza kufanya... Wale wabunge wa mchongo wa Magufuli wanapeta na hakuna wanachoweza kufanya
Ingekuwa chama chenye nguvu kisingefanyiwa uhuni kama ule kirahisi tu na ikapita

Samia kuwafungulia kidogo tu wanabweka bweka na kujiona wakubwa, akiwafungia hakuna watakachoweza kufanya
 
Mimi nilikuwa chadema damu damu sana ndugu yangu; rudia posts zangu zote kabla ya 2015 zilizoko hapa upate ukweli huo. Mwaka 2015 ndipo Chadmea ilijitoa ufahamu na kutupozea wafuasi wengi sana. Baada ya Lowassa kupewa begi la kugombea urais kupitia CHADEMA iliniliazimisha kumpima Lowasssa na Magufuli na kugundua kuwa Magufuli alikuwa bo lakini huo ndio ulikuwa mwanzora sana kuliko Loawassa. Inawezekana Chadema ingekuwa na mgombea tofauti ningekuwa na mtizamo tofauti pia. Chama kutokuwa principled ni tatizo kubwa sana ndani ya Chadema
 
Mkuu ni kweli umesahau kipindi walichopitia Chadema chini ya "MKONO WA CHUMA"? Watu wamepigwa risasi ,wametupwa kwenye viroba ,wamefungwa ,wamekatazwa kufanya siasa ,biashara ya utumwa(watu walikuwa wananunuliwa) ,wamefilisiwa etc
Siyo kweli. Picha hizi zilitokea kabla ya utawala wa Magufuli lakini CHADEMA ilikuwa na nguvu sana

Huku ndio kukosa principle sasa

Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm, cha ajabu ikifika wakati wa uchaguzi, tunashuhudia chaguzi za kihayawani ili ccm watangazwe washindi kwa shuruti!
 
Hivi ndivyo unavyotamani iwe, lakini uhalisia ni tofauti kabisa na haya matamanio yako. Kama kuna chama kitaitoa madarakani ccm, basi hicho sio kingine bali ni cdm. Jinamizi hili linaisumbua sana ccm, ndio maana unaona ccm inazidi kujikita kwenye vyombo vya dola, maana hiyo ndio pumzi yake pekee ya kubaki madarakani kwa shuruti.
 
Siyo kweli. Picha hizi zilitokea kabla ya utawala wa Magufuli lakini CHADEMA ilikuwa na nguvu sana

View attachment 2704526

View attachment 2704528

Mkuu una heshima kubwa sana humu JF ,Utawala wa JK kulikuwa na mikutano ya hadhara ,kulikuwa hakuna biashara ya utumwa , sheria za mitandao ilikuwa siyo kali ,si umeona watu wa kwenye mitandao walivyopotea kipindi cha JIWE?
 
To be honest Mimi Mbowe simwamini kbs, chadema ingebadilisha mwenyekiti
 
Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?

Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?

Inavutia na itakuwa na mvuto kuliko, chama lolote chini ya jua na itabakikuwa hivyo ,asiyekubali yeye ni mshambaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Miaka ya nyuma wananchi wengi walikuwa hawana elimu ndio mana walikuwa wanajitokeza kwa wingi kwenye mikutano wakiamini kura zao zitawaletea viongozi wanaowataka kumbe mambo siyo hivyo

Ccm imejidhihirisha haiwezi kukubali kushindwa kwenye box la kura
 
Chadema haijakosa mvuto ila Siasa za kijinga na kidkteta za mhomba wako jiwe ndo zilisababisha
Au unasahau 2020 mjomba wako jambazi alibaka uchaguzi na vitua vya kupigia kula akajaza wanajeshi wajinga akishilikiana na baba mdgo wako mabeyo au unasahau
Km mjomba wako alkua anawaogopa chadema ad kuwapiga risasi wengne kuharibu na hofodhi mali zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…