Chadema imekosa mvuto kwa sababu ya mambo matatu 1 tamaa ya pesa wao wakioneshwa pesa wanasaliti mashabiki wao walifanya hivyo kwa lowassa wakarudia ilo kwa mama Samia alipowaita ikulu
2, kutetea ufisadi wakati walijijenga kama wapinga ufisadi baadae tukaona wanatetea wezi wa escrow wakawa watetezi wa barrick gold mtu akikamatwa kwa ufisadi wanasema anaonenwa sasa wananchi wanaona wanagutuka
3 ukabila na udini wamejidhiilisha kama chama cha watu wa kaskazini utaona mtu kama lema ana nguvu kubwa kwenye chama kuliko salim mwalim ambae ni vice chairman hiyo inatokana yeye ni mchaga ukiwa mchaga pale ni kama chama cha nyumbani unakuwa na nguvu na unasikilizwa ona mktutano wao wa juzi wamejaa maaskofu na wachingaji hakuna shekh ata mmoja
Chadema ni finished political party wamebakiza matusi watu wameichoka ccm ila hawaon chadema kama ni mbadala bado wannamin mkombozi wao atatokea mule mule ccm km ilivyokuwa magufuli
View attachment 2704417
Ona mktutano wa lissu huu ndio uhalisia wakiwa jamiifurm na twitter unaweza sema wana watu kumbe umu wanajiongelesha na kujifariji