Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyosoo alikutwa na masahibu gani? Mpaka akamfanyia mwenzake vitendo viovu kiasi ile?
Naunga mkonoWachezaji walioachwa na timu fulani mara nyingi huwa na wivu dhidi ya wachezaji waliopo timu hiyo kwa sasa, hasa kama timu hiyo ipo juu kimaslahi kuliko walikoenda. Sasa ikitokea kama mchezaji wa hivyo akawa hana uvumilivu na uungwana, basi atacheza kwa hasira na hata kufanya vitendo visivyo vya kiuanamichezo
Juzi hapa ilitokea pia, Abdi Banda wa Mtibwa kumtolea maneno ya kebehi Inonga Baka wa Simba. Kikubwa huwa ni wivu tu na inferiority complex
Alizidiwa mbinu kwa sababu jamaa si mchezaji kweli. Dogo ni muuza mitumba tu na mchawi fulani, hana mpira wowote.Nyosoo alikutwa na masahibu gani? Mpaka akamfanyia mwenzake vitendo viovu kiasi ile?