Nini kilisababisha ukaacha kuvuta bangi?

Mimi niliacha ilikuwa hainiletei kitu chochote ila nikilala usiku nawaza kuamka nikatoka hadi nje sijielew then nikiwa nje ndo nashtuka sasa hapa naenda wap pia kuna mida iliniletea hofu sana kama kuna kitu kibaya kitanitokea au nitapagawa hivyo nikaona muda wakuacha umefika
 
Hiyo inatokana na zile story kwamba inatia uchizi ndo mana ukawa na hofu yani unavyoifkiria ndio inavyokupeleka
 
Umenifunza mengi sana hapa mimi -


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani kila uli
Nilikua najiona kama nabii mwenye kupewa maono, kujitenga, kuwa mtu wa dini sana, kukataa madem, kurizika na maisha na mngn mengi alhamdulillah saiv nimeacha na staman kurudi tena kwenye weed japo ilikua ikinipa condidence ata ya kuongea na rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…